SERIKALI YAHAHA, YAMSAKA BALALI
![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDqiVZWfq2y5KjFxXhWCwTG7XUYKPJDPVoRJ2gGXb*LzDxWw73wLGtKkwCbjR009WUFYpCmpTuHuOar34SZCjj37/balali.jpg)
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa IKIWA ni takriban miaka sita sasa tangu aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania (BoT), Daudi Balali , afariki dunia nchini Marekani, serikali imesema inamsaka kwa udi na uvumba Balali feki anayepotosha Wabongo kwa kujifanya yu hai na anaendelea na maisha nchini humo. Aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania (BoT), Marehemu Daudi Balali enzi za uhai wake. Akizungumza na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Serikali yahaha kunusuru bajeti
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Serikali yahaha kutafuta soko la mahindi nje
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-sk7xfV9il3E/XkVtYLzbpfI/AAAAAAALdR8/4a7J0ABzoikGV5uxvZ2iuPVCxrxkxt0SACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200213_130502_313_2.jpg)
Serikali yamsaka Nabii anayejitangaza kutoa Tiba ya Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-sk7xfV9il3E/XkVtYLzbpfI/AAAAAAALdR8/4a7J0ABzoikGV5uxvZ2iuPVCxrxkxt0SACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200213_130502_313_2.jpg)
,Naibu Waziri wa Afya,Dkt Faustine Ndugulile
Na Ahmed Mahmoud,Arusha
Serikali ya Tanzania imemuonya vikali mtu anayejiita Nabii Namba saba ambaye jina lake halisi ni Mosses Mollel kuwa itamchukulia hatua kali iwapo atashindwa kuthibitisha madai kuwa na uwezo wa kutibu virusi Vya ugonjwa wa Corona .
Nabii huyo ambaye taarifa zake zilianza kusambaa mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii akidai anayodawa ya kutibu ugonjwa hatari wa Corona ulioanzia nchini China na...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-mOsSkFSASgk/XkY5sxedNqI/AAAAAAACylU/eoic4VcdT-kQeo_NhLIEaz_dfbpt-QgoACLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot_3.png)
SERIKALI YAMSAKA NABII ANAYEJITANGAZA KUWA ANATIBA YA UGONJWA WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-mOsSkFSASgk/XkY5sxedNqI/AAAAAAACylU/eoic4VcdT-kQeo_NhLIEaz_dfbpt-QgoACLcBGAsYHQ/s640/Screenshot_3.png)
Na Ahmed Mahmoud,Arusha
Serikali ya Tanzania imemuonya vikali mtu anayejiita Nabii Namba saba ambaye jina lake halisi ni Mosses Mollel kuwa itamchukulia hatua kali iwapo atashindwa kuthibitisha madai kuwa na uwezo wa kutibu virusi Vya ugonjwa wa Corona .
Nabii huyo ambaye taarifa zake zilianza kusambaa mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii akidai anayodawa ya kutibu ugonjwa hatari wa Corona ulioanzia nchini China na kusababisha Vifo Vya watu zaidi ya 1100 hadi...
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Mashamba ya Balali kufutiwa umiliki
MASHAMBA yanayodaiwa kumilikiwa na aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu nchini, hayati Daudi Balali yameridhiwa na Baraza la Madiwani wilayani Kilombero kufutiwa umiliki wake. Taarifa ya Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Daudi...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Mashamba ya Balali kugawanywa kwa wananchi
9 years ago
Vijimambo18 Sep
Polisi wamsaka 'Daudi Balali' anayemiliki ukurasa wa twitter
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ad-18Sept2015.png)
Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, aliyasema hayo wakati akizungumza na Nipashe ofisini kwake jana.
Bulimba alisema kuwa taarifa za uwapo wa ukurasa huo wa twitter, wamekwishazipata na wanafanya uchunguzi wa kina kumkamata mhusika kisha...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
TFDA yahaha kujinasua
BAADA ya gazeti hili kufichua uzembe wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) wa kutochukua hatua stahiki dhidi ya mmiliki wa duka la dawa la Core Pharmacy, Sohil Lalani...
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
Marekani yamsaka Jihadi John