Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAMSAKA NABII ANAYEJITANGAZA KUWA ANATIBA YA UGONJWA WA CORONA


 Na Ahmed Mahmoud,Arusha

Serikali ya Tanzania imemuonya vikali mtu anayejiita Nabii Namba saba ambaye jina lake halisi ni Mosses Mollel kuwa itamchukulia hatua kali iwapo atashindwa kuthibitisha madai  kuwa na uwezo wa kutibu virusi Vya ugonjwa wa Corona .
Nabii huyo ambaye taarifa zake zilianza kusambaa mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii akidai anayodawa ya kutibu ugonjwa hatari wa Corona ulioanzia nchini China na kusababisha Vifo Vya watu zaidi ya 1100 hadi...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Serikali yamsaka Nabii anayejitangaza kutoa Tiba ya Corona


,Naibu Waziri wa Afya,Dkt Faustine Ndugulile


Na Ahmed Mahmoud,Arusha 
Serikali ya Tanzania imemuonya vikali mtu anayejiita Nabii Namba saba ambaye jina lake halisi ni Mosses Mollel kuwa itamchukulia hatua kali iwapo atashindwa kuthibitisha madai kuwa na uwezo wa kutibu virusi Vya ugonjwa wa Corona . 
Nabii huyo ambaye taarifa zake zilianza kusambaa mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii akidai anayodawa ya kutibu ugonjwa hatari wa Corona ulioanzia nchini China na...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Guinea yasema ugonjwa wa corona hautazuia uchaguzi

Serikali ya Guinea-Conakry imesisitiza kufanyika kwa uchaguzi wa wabunge na kura ya maoni ya katiba pamoja na kuwa wapinzani wanataka uchaguzi usitishwe kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.

Aidha wapinzani wanautazama uchaguzi huo ambao utafanyika kesho Jumapili kuwa mbinu za rais Alpha Condé ambaye anataka kubadilisha katiba ili aweze kuwania muhula wa tatu kinyume cha sheria ya sasa.

Ingawa katiba mpya ambayo inatazamiwa kuidhinishwa katika kura ya maoni ina kipengee cha...

 

5 years ago

CCM Blog

WAASWA WATUMISHI WA SERIKALI MIPAKANI KUTOISALITI NCHI YAO KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA CORONA

Katika hali ya kupambana na maambukizi ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona, Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka maafisa uhamiaji pamoja na watumishi wengine katika bandari za mkoa huo pamoja na mpaka wa nchi kavu kuacha tabia ya kupokea rushwa kutoka kwa wageni hasa katika kipindi hiki ambacho ni hatari kwa nchi.
Mh. Wangabo amewataka watumishi hao kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kwani kuwapitisha wageni hao kwa kutumia rushwa kutasababisha nchi itaingia kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

Watumishi wa Serikali mipakani waaswa kutoisaliti nchi yao kujiepusha na ugonjwa wa Corona.








Bandari ya Kabwe, Wilayani Nkasi, Mkoani Rukwa

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo pamoja na Kikosi cha Ulinzi na Usalama Mkoa akitoa maelekezo baada ya kuiona nyumba itakayotumika kwaajili ya kuhifadhi wageni kwa siku 14 katika bandari ya Kabwe.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (katikati) akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda (kushoto) pamoja na msimamizi wa Bandari ya Kabwe Mohamed Issa (Kulia) na wengineo wakati wakiingia katika lango kuu la bandari hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUISADIA SERIKALI KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA CORONA

Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa wanaisaidia Serikali,katika kuhamasisha jamii kuhusiana na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa Covid-19.
Akizungumza na Vyombo vya habari Msemaji wa Taasisi ya dini ya Kiislaamu ya TWARIQA Qadiria,Jalailania Arrasziqia Tanzania Shekhe Haruna Hussein alisema viongozi wa dini Wana nafasi kubwa Sana katika kusaidia mapambano haya ya Virusi vya Corona,kwa kuhakikisha kuwa katika...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YATAJA SABABU ZA KUCHELEWA KUTOA TAARIFA ZA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI

  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na...

 

10 years ago

GPL

NABII YASPI BENDERA ATINGA GLOBAL, ATOA UTABIRI KUHUSU UGONJWA WA EBOLA

Nabii Yaspi Paul Bendera akiwa katika studio za Global TV Online kabla ya mahojiano. Nabii Yaspi akijibu maswali ya wanahabari wa GPL (hawapo pichani), mbele ya kamera za Global TV…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani