Serikali ya Guinea yasema ugonjwa wa corona hautazuia uchaguzi
Serikali ya Guinea-Conakry imesisitiza kufanyika kwa uchaguzi wa wabunge na kura ya maoni ya katiba pamoja na kuwa wapinzani wanataka uchaguzi usitishwe kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Aidha wapinzani wanautazama uchaguzi huo ambao utafanyika kesho Jumapili kuwa mbinu za rais Alpha Condé ambaye anataka kubadilisha katiba ili aweze kuwania muhula wa tatu kinyume cha sheria ya sasa.
Ingawa katiba mpya ambayo inatazamiwa kuidhinishwa katika kura ya maoni ina kipengee cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Sep
Serikali yasema uchaguzi utakuwa huru na haki
Serikali imesema itahakikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unakuwa huru na wa haki ili kuwawezesha Watanzania kuitumia vyema haki yao ya kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wanaowataka.
Makamu wa Rais Dokta Mohammed Gharib Bilal amesema Serikali haitakubali kuona uchaguzi wa mwaka huu unakuwa chanzo cha kuvurugika kwa amani ya nchi hivyo itahakikisha unafanyika kwa amani na utulivu kote nchini.
Makamu wa Rais, Dokta Mohammed Gharib Bilal, amewatoa hofu watanzania katika ibada ya kumweka...
5 years ago
CCM BlogSERIKALI YAMSAKA NABII ANAYEJITANGAZA KUWA ANATIBA YA UGONJWA WA CORONA
Na Ahmed Mahmoud,Arusha
Serikali ya Tanzania imemuonya vikali mtu anayejiita Nabii Namba saba ambaye jina lake halisi ni Mosses Mollel kuwa itamchukulia hatua kali iwapo atashindwa kuthibitisha madai kuwa na uwezo wa kutibu virusi Vya ugonjwa wa Corona .
Nabii huyo ambaye taarifa zake zilianza kusambaa mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii akidai anayodawa ya kutibu ugonjwa hatari wa Corona ulioanzia nchini China na kusababisha Vifo Vya watu zaidi ya 1100 hadi...
5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM BlogSERIKALI YATAJA SABABU ZA KUCHELEWA KUTOA TAARIFA ZA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na...
5 years ago
CCM BlogWAASWA WATUMISHI WA SERIKALI MIPAKANI KUTOISALITI NCHI YAO KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA CORONA
Mh. Wangabo amewataka watumishi hao kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kwani kuwapitisha wageni hao kwa kutumia rushwa kutasababisha nchi itaingia kwenye...
5 years ago
MichuziVIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUISADIA SERIKALI KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA CORONA
Akizungumza na Vyombo vya habari Msemaji wa Taasisi ya dini ya Kiislaamu ya TWARIQA Qadiria,Jalailania Arrasziqia Tanzania Shekhe Haruna Hussein alisema viongozi wa dini Wana nafasi kubwa Sana katika kusaidia mapambano haya ya Virusi vya Corona,kwa kuhakikisha kuwa katika...
5 years ago
MichuziWatumishi wa Serikali mipakani waaswa kutoisaliti nchi yao kujiepusha na ugonjwa wa Corona.
Bandari ya Kabwe, Wilayani Nkasi, Mkoani Rukwa
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo pamoja na Kikosi cha Ulinzi na Usalama Mkoa akitoa maelekezo baada ya kuiona nyumba itakayotumika kwaajili ya kuhifadhi wageni kwa siku 14 katika bandari ya Kabwe.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (katikati) akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda (kushoto) pamoja na msimamizi wa Bandari ya Kabwe Mohamed Issa (Kulia) na wengineo wakati wakiingia katika lango kuu la bandari hiyo...
5 years ago
MichuziTUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAIPONGEZA SERIKALI DHIDI YA MAPAMBANO YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).
Itakumbukwa kuwa katikati ya mwezi Machi mwaka huu Serikali ilitangaza mapambano rasmi dhidi ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona ambavyo hivi karibuni imekuwa ni janga kubwa duniani.
Serikali ilichukua uamuzi huo baada ya Tanzania kuanza kupata taarifa za uwepo wa wagonjwa wa maradhi hayo nchini na hivyo kuwataka Wananchi kuchukua tahadhari mbalimbali za kujikinga na...
5 years ago
BBCSwahili19 May
Virusi vya corona: Kenya yasema 'adui si Tanzania ni Corona'