VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUISADIA SERIKALI KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-7c16QPeNAw8/Xo1vcej6r5I/AAAAAAALmdM/QNyRdAFOCHU7Lt96lT1PamjANu7tnMvMwCLcBGAsYHQ/s72-c/d79fae8f-60c5-4aa4-ab24-7f03bbdd2cbc.jpg)
Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa wanaisaidia Serikali,katika kuhamasisha jamii kuhusiana na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa Covid-19.
Akizungumza na Vyombo vya habari Msemaji wa Taasisi ya dini ya Kiislaamu ya TWARIQA Qadiria,Jalailania Arrasziqia Tanzania Shekhe Haruna Hussein alisema viongozi wa dini Wana nafasi kubwa Sana katika kusaidia mapambano haya ya Virusi vya Corona,kwa kuhakikisha kuwa katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-in22Q9_Q52s/XnoDxZg656I/AAAAAAAC8vQ/GJxfbfZouckonY1bH-o_3u6xM85ZHLDlwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200324-WA0007.jpg)
StarTimes Kuhabarisha na kuelimisha jamii kila siku kuhusu Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-in22Q9_Q52s/XnoDxZg656I/AAAAAAAC8vQ/GJxfbfZouckonY1bH-o_3u6xM85ZHLDlwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200324-WA0007.jpg)
Lengo ikiwa ni kuwahabarisha watu wa mijini na vijijini na kuwaelimisha...
5 years ago
BBCSwahili22 Mar
Magufuli awakemea wanaopotosha jamii kuhusu ugonjwa wa corona
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Viongozi wa dini waiweka Serikali pabaya kuhusu Katiba Mpya
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-btO0pmTp-0M/Xt0QWFHTu8I/AAAAAAALs7M/iSozr6g_DIwXmZeK6bFlBwgvXTfE_MFBACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_0350-2048x1369.jpg)
RC Wangabo aendelea kuelimisha wanarukwa juu ya ugonjwa wa Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-btO0pmTp-0M/Xt0QWFHTu8I/AAAAAAALs7M/iSozr6g_DIwXmZeK6bFlBwgvXTfE_MFBACLcBGAsYHQ/s640/DSC_0350-2048x1369.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akiongea na Wananchi wa kijiji cha Majengo, Kata ya Majengo, Wilayani Nkasi juu ya Ugonjwa wa Covid-19
********************************
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo ameendelea kuwatahadharisha wananchi wa mkoa huo juu ya uwepo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid – 19) na kuwataka kuendelea kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pamoja na kufuata maelekezo yote ya wataalamu wa...
5 years ago
CCM Blog![](https://3.bp.blogspot.com/-7JmxluI1jdk/XpceKqSs0-I/AAAAAAACJ1Y/qvX-Or_Lmx0yULpabxIFR2sckf0vukJaACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200415-WA0059.jpg)
11 years ago
Habarileo03 Aug
Viongozi wa dini wahimizwa kuombea Bunge la Katiba
MBUNGE wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher ole Sendeka amewaomba viongozi wa dini, kuliombea Bunge la Katiba ili kusaidia kupatikana kwa Katiba bora itakayowaongoza Watanzania katika maisha yao ya kila siku.
9 years ago
StarTV18 Sep
Viongozi wa dini wahimizwa kuiombea nchi amani
Serikali wilayani Meatu katika mkoa wa Simiyu imewataka viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kuiombea nchi amani katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kufanya wa amani na haki.
Aidha viongozi hao wametakiwa kuacha upendeleo kwa chama kimoja cha siasa na badala yake watoe haki sawa kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika wilaya hiyo.
Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Meatu Erasto Sima katika uzinduzi wa mkutano mkubwa wa Injili unaofanyika katika mji wa Mwanhuzi wilayani humo...
9 years ago
StarTV12 Oct
Viongozi wa Dini wahimizwa kufuata sheria za nchi
Viongozi wa Dini nchini wametakiwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria za nchi wakati wanapotaka kusajili taasisi zao kwa ajili ya kutoa huduma za kiroho.
Tamko hilo limetolewa kwa madai kuwa baadhi ya Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste ambao hawako kwenye Baraza la Makanisa nchini wanakiuka taratibu za usajilli.
Maaskofu hao wamelilaumu Baraza la Makanisa ya Kipentekoste na Serikali kuwa wanazuia usajili kukiwa na tetesi ya kutaka kufutwa kwa baadhi ya taasisi.
Akijibu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dgHeGpehXZY/XrbI5ypUZfI/AAAAAAALpkY/-dyCJrrW2zc5HKRgRupbnvhJ0zkl0-fGwCLcBGAsYHQ/s72-c/A.png)
KKKT wazindua mpango wa kuingia vijijini kuelimisha jamii kupambana na Corona
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kusini Kati wilayani Makete mkoani Njombe,kwa kushirikiana na Madhehebu mengine wilayani humo,wamezindua mpango Maalum wa kudhibiti na kupambana na virusi vya Corona (COVID-19) na kufika kila kijiji ndani ya wilaya ili kutoa elimu ya kupambana na kirusi Corona.
Askofu wa Dayosisi ya Kusini kati Wilson Sanga amesema tangu tatizo hilo lilipoingia nchini,Kanisa limeungana na serikali kuunga mkono juhudi za Serikali...