Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KKKT wazindua mpango wa kuingia vijijini kuelimisha jamii kupambana na Corona

Na Amiri kilagalila,Njombe

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kusini Kati wilayani Makete mkoani Njombe,kwa kushirikiana na Madhehebu mengine wilayani humo,wamezindua mpango Maalum wa kudhibiti na kupambana na virusi vya Corona (COVID-19) na kufika kila kijiji ndani ya wilaya ili kutoa elimu ya kupambana na kirusi Corona.

Askofu wa Dayosisi ya Kusini kati Wilson Sanga amesema tangu tatizo hilo lilipoingia nchini,Kanisa limeungana na serikali kuunga mkono juhudi za Serikali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

StarTimes Kuhabarisha na kuelimisha jamii kila siku kuhusu Corona

Kampuni ya Star Media(T) kupitia chapa yake StarTimes imeunga mkono jitihada za Serikali kupambana na kuelimisha jamii kuhusiana na virusi vya COVID-19, StarTimes imeanza kurusha kipindi cha StarTimes Daily Covid-19 Report kinachotoa habari/ taarifa kuhusu virusi vya Corona na Elimu ya  namna ya kujikinga ,kupitia  chaneli ya ST Swahili kila siku saa 3:45 usiku,na pia kupitia Application ya StarTimes ON kwenye simu janja.
Lengo ikiwa ni kuwahabarisha watu wa mijini na vijijini na kuwaelimisha...

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUISADIA SERIKALI KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA CORONA

Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa wanaisaidia Serikali,katika kuhamasisha jamii kuhusiana na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa Covid-19.
Akizungumza na Vyombo vya habari Msemaji wa Taasisi ya dini ya Kiislaamu ya TWARIQA Qadiria,Jalailania Arrasziqia Tanzania Shekhe Haruna Hussein alisema viongozi wa dini Wana nafasi kubwa Sana katika kusaidia mapambano haya ya Virusi vya Corona,kwa kuhakikisha kuwa katika...

 

5 years ago

Michuzi

TMRC yatoa mchango kwa Serikali na jamii kupambana na Corona.

Mganga Mkuu wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Amana Dr. Amani Malima, aliyevaa shati akipokea gallon ya lita 5 za vitakasa mikono (sanitizer) kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TMRC Oscar Mgaya wakati wa hafla hiyo ya makabidhiano ya mchango huo wa Vitakasa mikono 
..............................................
TMRC imetoa msaada huo kwa hospitali ya Serikali ya Amana. Msaada huo ni gallons 50 za lita 5 za vitakasa mikono (sanitizer) ambazo kwa ujumla wake ni lita 250.
Msaada huo ulipokelewa na Mganga...

 

9 years ago

Michuzi

PSPF,NHIF WAZINDUA MPANGO WA MATIBABU KWA WANACHAMA WA MFUKO HUO WALIO KWENYE MPANGO WA PSS

 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, SSRA, Omar Kahlfan, (katikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF, Neema Muro, (wapili kushoto), Meneja wa Mpango wa Uchagiaji wa Hiari wa PSPF,Mwanjaa Sembe, (wakwanza kushoto) na maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, (kulia waliosimama), wakishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayinhu, (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando, wakitia saini makubaliano ambayo yatawezesha...

 

9 years ago

Dewji Blog

PSPF, NHIF wazindua mpango wa matibabu kwa wanachama wa mfuko huo walio kwenye mpango wa PSS

 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, SSRA, Omar Kahlfan, (katikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF, Neema Muro, (wapili kushoto), Meenja wa Mpango wa Uchagiaji wa Hiari wa PSPF,Mwanjaa Sembe, (wakwanza kushoto) na maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, (kulia walosimama), wakishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayinhu, (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando, wakitia saini makubaliano ambayo yatawezesha...

 

11 years ago

Michuzi

WAHITIMU WATAKIWA KUELIMISHA JAMII KUTANGAZA BIDHAA ZA TANZANIA

DSCF2810Kulia ni mgeni rasmi Adam Shayo,ambaye ni mkurugenzi wa Taasisi ya elimu ya Sila(SILA VOCATION TRUST ARUSHA) katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu katika  mahafali ya kwanza  chuo cha Biashara na Teknohama Arusha. kushoto ni mkurugenzi wa chuo hicho Valentune Ndanu
Na Pamela Mollel,Arusha.
Wahitimu katika chuo cha Biashara na Teknohama Arusha (IBICTA) wametakiwa kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa kutafuta masoko nje ya nchi kwaajili ya kutangaza  bidhaa za Tanzania hali itakayo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI YA KUELIMISHA JAMII DHIDI YA MAKOSA MTANDAO YASHIKA KASI

Kufuatia mpango kabambe wa kuelimisha jamii dhidi ya makosa mtandao tayari kumekua na video za katuni, Mchezo wa komputa “Computer gane”, majarida ya katuni pamoja na machapisho mengine yote yakiwa na lengo la kutoa elimu kwa jamii juu ya jinsi ya kujilinda dhidi ya makosa mtandao kuanzia ngazi ya mtu binafsi hadi kufikia ngazi ya kitaifa. Picha: Mfano wa Vijarida vinavyo toa elimu dhidi ya usalama mtandao. Aidha, Bwana. Yusuph Kileo ametoa wito kwa vyombo vya habari nchini kuangalia kwa...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAHAIDI KUZIDI KUPIGA JEKI WAFANYAKAZI WA AFYA YA JAMII KUBORESHA AFYA YA JAMII VIJIJINI

 Na Mwandishi Wetu,SERIKALI ya Tanzania imeelezea utayari wake wa kupiga jeki na kuwajumuisha wafanyakazi wa afya ya jamii katika nguvukazi ya sekta ya afya (national health workforce) ya taifa ili kuboresha afya ya jamii hususani katika maeneo ya vijijini.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau wa mradi wa mafunzo ya wafanyakazi wa afya ya jamii (Community Health Worker Learning Agenda Project - CHW-LAW) jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji (idara ya uzazi na afya ya mtoto)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani