Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


StarTimes Kuhabarisha na kuelimisha jamii kila siku kuhusu Corona

Kampuni ya Star Media(T) kupitia chapa yake StarTimes imeunga mkono jitihada za Serikali kupambana na kuelimisha jamii kuhusiana na virusi vya COVID-19, StarTimes imeanza kurusha kipindi cha StarTimes Daily Covid-19 Report kinachotoa habari/ taarifa kuhusu virusi vya Corona na Elimu ya  namna ya kujikinga ,kupitia  chaneli ya ST Swahili kila siku saa 3:45 usiku,na pia kupitia Application ya StarTimes ON kwenye simu janja.
Lengo ikiwa ni kuwahabarisha watu wa mijini na vijijini na kuwaelimisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUISADIA SERIKALI KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA CORONA

Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa wanaisaidia Serikali,katika kuhamasisha jamii kuhusiana na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa Covid-19.
Akizungumza na Vyombo vya habari Msemaji wa Taasisi ya dini ya Kiislaamu ya TWARIQA Qadiria,Jalailania Arrasziqia Tanzania Shekhe Haruna Hussein alisema viongozi wa dini Wana nafasi kubwa Sana katika kusaidia mapambano haya ya Virusi vya Corona,kwa kuhakikisha kuwa katika...

 

5 years ago

Michuzi

KKKT wazindua mpango wa kuingia vijijini kuelimisha jamii kupambana na Corona

Na Amiri kilagalila,Njombe

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kusini Kati wilayani Makete mkoani Njombe,kwa kushirikiana na Madhehebu mengine wilayani humo,wamezindua mpango Maalum wa kudhibiti na kupambana na virusi vya Corona (COVID-19) na kufika kila kijiji ndani ya wilaya ili kutoa elimu ya kupambana na kirusi Corona.

Askofu wa Dayosisi ya Kusini kati Wilson Sanga amesema tangu tatizo hilo lilipoingia nchini,Kanisa limeungana na serikali kuunga mkono juhudi za Serikali...

 

5 years ago

Michuzi

MAENDELEO, USTAWI WA JAMII WAPIGWA MSASA KUHUSU CORONA


Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akizungumza na maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii kutoka katika Kata za mkoa wa Dar es Salaam wakati akifungua mafunzo kwa wataalam hao juu ya mapambano dhidi ya Virusi vya Corona nchini.



Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Naftali Ng’ondi akieleza jambo kwa maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jmaii kutoka katika Kata za mkoa wa Dra es Salaam wakati ufunguzi wa mafunzo kwa wataalam hao juu ya mapambano dhidi ya Virusi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Magufuli awakemea wanaopotosha jamii kuhusu ugonjwa wa corona

Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekemea tabia ya watu kufanya mzaha na kutisha wengine kupitia mitandao ya kijamii juu ya ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19).

 

5 years ago

CCM Blog

MAENDELEO, USTAWI WA JAMII DAR WAPIGWA MSASA KUHUSU CORONA

 Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akizungumza na maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii kutoka katika Kata za mkoa wa Dar es Salaam wakati wa ufungunguzi wa mafunzo kwa wataalam hao juu ya mapambano dhidi ya Virusi vya Corona nchini Machi 28, 2020.(Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW)
 Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Naftali Ng’ondi akizungumza jambo kwa maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jmaii kutoka katika Kata za mkoa wa Dar es...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AWA GUMZO KILA PEMBE YA DUNIA, MSIMAMO WAKE KUHUSU CORONA WAKUNA WENGI

Na Sultani Kipingo wa Michuzi TVRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa gumzo kubwa sana duniani kwa siku kadhaa sasa toka aongee mjini Chato wakati wa hafla fupi ya kumwapisha Mhe. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Augustine Mahiga aliyefariki Ijumaa iliyopita.

Vyombo vya habari vyote vikubwa duniani, kama vile televisheni  za CNN, Al Jazeera, Sky News, BBC, CBS, DW, VOA pamoja na magazeti ya New York...

 

11 years ago

Michuzi

WAHITIMU WATAKIWA KUELIMISHA JAMII KUTANGAZA BIDHAA ZA TANZANIA

DSCF2810Kulia ni mgeni rasmi Adam Shayo,ambaye ni mkurugenzi wa Taasisi ya elimu ya Sila(SILA VOCATION TRUST ARUSHA) katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu katika  mahafali ya kwanza  chuo cha Biashara na Teknohama Arusha. kushoto ni mkurugenzi wa chuo hicho Valentune Ndanu
Na Pamela Mollel,Arusha.
Wahitimu katika chuo cha Biashara na Teknohama Arusha (IBICTA) wametakiwa kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa kutafuta masoko nje ya nchi kwaajili ya kutangaza  bidhaa za Tanzania hali itakayo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI YA KUELIMISHA JAMII DHIDI YA MAKOSA MTANDAO YASHIKA KASI

Kufuatia mpango kabambe wa kuelimisha jamii dhidi ya makosa mtandao tayari kumekua na video za katuni, Mchezo wa komputa “Computer gane”, majarida ya katuni pamoja na machapisho mengine yote yakiwa na lengo la kutoa elimu kwa jamii juu ya jinsi ya kujilinda dhidi ya makosa mtandao kuanzia ngazi ya mtu binafsi hadi kufikia ngazi ya kitaifa. Picha: Mfano wa Vijarida vinavyo toa elimu dhidi ya usalama mtandao. Aidha, Bwana. Yusuph Kileo ametoa wito kwa vyombo vya habari nchini kuangalia kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani