Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YATAJA SABABU ZA KUCHELEWA KUTOA TAARIFA ZA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI

  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu nchini

IMG_0652

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla akitoa tamko kwa umma, kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Pichani chini kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu katika Wizara ya Afya (Kaimu Mkurugenzi), Michael John.

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla ametoa tamko kwa umma,...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUTOA TAKWIMU ZA MWENENDO WA CORONA


Waziri Ummy Mwalimu akiongea na mwananchi kupitia kituo cha afya cha huduma kwa wateja mara baada ya kukizindua .
Waziri Ummy Mwalimu akiongea wakati wa uzinduzi huo
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiangalia namna watoa huduma wanavyopokea simu kutoka kwa wananchi kwa ajili ya kupata elimu kuhusu ugonjwa wa Corona
Muonekano wa kituo cha afya cha huduma kwa wateja ambacho kitakua na wataalam 150 wa kutoa elimu na taarifa kwa wananchi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU (COVID-19) NCHINI


 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vipya jamii ya Corona wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa NIMR jijini Dar es salaam leo Kushoto ni Dk. Zainab Chaula Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati alipotoa taarifa...

 

9 years ago

Bongo5

Cassim aitaja sababu ya kuchelewa kutoa video ya Subira

Cassim Mganga ameamua kuifungia ndani video ya wimbo wake wa Subira aliyomshirikisha Christian Bella mpaka uchaguzi utakapopita. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa ameona akiitoa video hiyo kwa wakati huu haitatendewa haki na mashabiki kutokana na kuwa busy na masuala ya uchaguzi. “Video ya Subira ipo tayari, tumeshafanya na Adam Juma lakini tumeshindwa kuitoa kwa sasa […]

 

10 years ago

Bongo5

Jokate awaomba mashabiki wamvumilie kwa kuchelewa kutoa video yake, atoa sababu zilizoichelewesha

Jokate Mwegelo ambaye hivi karibuni alishoot video ya wimbo wake wa kwanza kama msanii wa muziki nchini, ametoa sababu za kwanini mpaka sasa video wala wimbo huo havijafanikiwa kutoka. Jokate a.k.a Kidoti ameiambia Bongo5 kuwa video aliyoshoot Kenya imechelewa kwasababu kuna vitu ambavyo hakuvipenda katika video, hivyo vimechukua muda kurekebishwa ili kupata kitu bora zaidi. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani