Cassim aitaja sababu ya kuchelewa kutoa video ya Subira
Cassim Mganga ameamua kuifungia ndani video ya wimbo wake wa Subira aliyomshirikisha Christian Bella mpaka uchaguzi utakapopita. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa ameona akiitoa video hiyo kwa wakati huu haitatendewa haki na mashabiki kutokana na kuwa busy na masuala ya uchaguzi. “Video ya Subira ipo tayari, tumeshafanya na Adam Juma lakini tumeshindwa kuitoa kwa sasa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo506 Oct
Jokate awaomba mashabiki wamvumilie kwa kuchelewa kutoa video yake, atoa sababu zilizoichelewesha
5 years ago
CCM BlogSERIKALI YATAJA SABABU ZA KUCHELEWA KUTOA TAARIFA ZA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na...
9 years ago
Bongo528 Aug
Yamoto Band waeleza sababu ya kuchelewa kutoka kwa video waliyofanya na God Father
9 years ago
Bongo524 Dec
Baby J aitaja sababu inayowakwamisha wasanii wa kike kutoboa
Staa wa muziki, Baby J amezitaja sababu zinazowakwamisha wasanii wengi wa kike kushindwa kufikia malengo yao.
Muimbaji huo aliye chini ya uongozi wa Mkubwa na Wanawe wa Said Fella, ameiambia Bongo5 kuwa moja ya sababu kubwa inayowafelisha wasanii wengi wa kike ni mfumo wa muziki wa zamani ambao ulitawaliwa na wanaume wengi.
“Kuna kitu ambacho mimi sasa hivi sitaki kukiangalia, nilikuwa nakiangalia zamani kwenye muziki. Watu wanaowasaidia wasanii ni wanaume pekee, hakuna meneja mwanamke...
9 years ago
Bongo530 Sep
Afande Sele aitaja sababu inayoipoteza hip hop ya Tanzania
9 years ago
Bongo508 Oct
Young Killer aitaja sababu iliyomfanya aanze ‘mapenzi’ mapema!
9 years ago
Bongo519 Nov
Jay Moe ataja sababu ya kuchelewa kuoa
Jay Moe amesema bado hajapata mke mwema atakayeendana na ndoto zake.
Jay Moe alisema hadi sasa bado hana mchumba.
“Bado napambana na kuangalia nani ambaye anaweza kwenda na ndoto zangu sio ilimradi tu nimeoa halafu watu waanze kuongea niliachana na yule! Ndio maana najaribu kuwa makini kupita njia ambazo zitakuwa sahihi kwangu,” alisema.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...
10 years ago
MichuziNape azungumzia sababu za kuchelewa kwa Vikao vya CCM, Mjini Dodoma
Nape amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo yatapelekwa mbele ya Mkutano Mkuu utakaofanyika Jumamosi Julai 11, 2015.
Nape amesema vikao vyote...
9 years ago
Bongo526 Nov
Vanessa Mdee ataja sababu za kuchelewa kuitoa album yake ‘Money Mondays’
Album ya Vanessa Mdee, ‘Money Mondays’ ni kama imekamilika tayari lakini muimbaji huyo amesema ameichelewesha kuitoa kwasababu anaitengenezea mkakati mzuri wa kuichia.
Vanessa ameiambia Bongo5 kuwa anaangalia njia sahihi ya kuitoa.
“Naichelewesha kuitoa sababu natafuta proper distribution plan,” amesema.
“Sitaki tu itoke halafu watu wakasikiliza halafu ikabakia hamna faida yoyote tuliyotengeneza. Nataka kutumia fursa kutengeneza album ambayo italeta utofauti kwenye utoaji wa album....