Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashamba ya Balali kufutiwa umiliki

MASHAMBA yanayodaiwa kumilikiwa na aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu nchini, hayati Daudi Balali yameridhiwa na Baraza la Madiwani wilayani Kilombero kufutiwa umiliki wake. Taarifa ya Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Daudi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mashamba ya Balali kugawanywa kwa wananchi

>Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero imeamua kufuta miliki ya mashamba yote makubwa yasiyoendelezwa na taratibu mpya zinafanyika ili kuyamilikisha kwa wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wachimbaji hatarini kufutiwa umiliki

Wachimbaji wadogo 37 wanaomiliki leseni za uchimbaji dhahabu mkoani Singida, wapo hatarini kupoteza leseni hizo kutokana na kushindwa kutekeleza matakwa ya kanuni na sheria zinazodhibiti madini.

 

9 years ago

Michuzi

ILI KUEPUKA KUBOMOLEWA, KUFUTIWA UMILIKI JIEPUSHE NA HAYA.


Na Bashir YakubSerikali  mpya  imeanza  kwa  kasi  kubwa kufuta  umiliki  wa  viwanja  nyumba na  kubomoa  yale  maeneo  yote  wanayoona  hayastahili. Upo  umuhimu  wa  kujua  namna  ya  kuepuka  kuingia  katika  janga  hili.


1.Kifungu cha 45 (2)(i-vi) cha Sheria ya Ardhi kinaeleza sababu za msingi zinazoweza kusababisha mhusika kubomolewa, kufutiwa umiliki ardhi kama ifuatavyo :( a ) Kwanza iwapo eneo limetelekezwa kwa muda usiopungua miaka miwili. Muda usiopungua miaka miwili maana yake ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yafuta umiliki wa mashamba ya wawekezaji

>Serikali imefuta umiliki wa baadhi ya mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wawekezaji na kuyakabidhi kwa wananchi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Sheria ya umiliki ardhi invyomsaidia mwanamke kupata haki ya umiliki

Serikali inafanya nini kuhakikisha sheria ya umiliki wa ardhi inawafaidisha wanawake.

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YAHAHA, YAMSAKA BALALI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
IKIWA ni takriban miaka sita sasa tangu aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania  (BoT), Daudi Balali , afariki dunia nchini Marekani, serikali imesema inamsaka kwa udi na uvumba Balali feki anayepotosha Wabongo kwa kujifanya yu hai na anaendelea na maisha nchini humo. Aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania  (BoT), Marehemu Daudi Balali enzi za uhai wake. Akizungumza na...

 

9 years ago

Vijimambo

Polisi wamsaka 'Daudi Balali' anayemiliki ukurasa wa twitter

Jeshi la Polisi nchini linafanya uchunguzi kumbaini mmiliki wa ukurasa wa twitter unaoendeshwa na anayejiita Daudi Balali, aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.
Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, aliyasema hayo wakati akizungumza na Nipashe ofisini kwake jana.

Bulimba alisema kuwa taarifa za uwapo wa ukurasa huo wa twitter, wamekwishazipata na wanafanya uchunguzi wa kina kumkamata mhusika kisha...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA KUFUTIWA HATI YA ARDHI.

Na Bashir YakubMakala  zilizopita  nilieleza   mazingira ya  kisheria  ambapo  mtu  anaweza   kunyanganywa  ardhi  yake  na  kufutiwa  hati  miliki  na  hatimye  ardhi  kupewa  mtu  mwingine  au  kukabidhiwa  mikononi  mwa  serikali. Nilieleza  mambo  mengi  ikiwemo   sababu  ambazo  zinaweza  kupelekea mamlaka  za  ardhi  kufuta  hati  miliki  ya mtu.  Pia  nilionya  kuwa unapomiliki  ardhi  sio  kwamba  umemaliza,  hapana,  isipokuwa  kuna umuhimu  mkubwa wa  kuzingatia  na  kufuata...

 

11 years ago

Mwananchi

Makandarasi wabishi kufutiwa usajili

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo ameitaka Bodi ya Usajili ya Makandarasi Tanzania (CRB), kuwabana na kuwafutia usajili makandarasi ambao hawafuati na kuzingatia sheria za ujenzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani