Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makandarasi wabishi kufutiwa usajili

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo ameitaka Bodi ya Usajili ya Makandarasi Tanzania (CRB), kuwabana na kuwafutia usajili makandarasi ambao hawafuati na kuzingatia sheria za ujenzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya NGOs 1000 kufutiwa usajili nchini

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anatarajia kuyafutia usajili zaidi ya Mashirika 1000 kutokana na kutotimiza matakwa ya kisheria katika utendaji kazi wake tangu yasajiliwe.
 Hatua hiyo inatokana na maelekezo ya Bodi ya Uratibu ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali katika kikao chake kilichofanyika hivi karibuni mkoani Geita. 
Kufutwa kwa mashirika tajwa kunatokana na kushindwa kutoa taarifa zake za kila mwaka kama inavyosisitizwa na sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24, 2002...

 

10 years ago

GPL

Liverpool yawachinja wabishi Southampton

Raheem Sterling wa Liverpool akishangilia goli.
LIVERPOOL, England
LIVERPOOL jana waliamka na kucheza kwa kasi hali iliyowapa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ngumu ya Southampton kwenye mchezo uliopigwa katika Uwanja wa St Mary.Katika mchezo wa mapema, Tottenham Hotspur walifanya kazi kubwa na kuambulia sare ya mabao 2-2 dhidi ya kigogo West Ham. Mchezo wa jana wa Liverpool ulikuwa wa kasi ya hali ya juu na kushuhudia...

 

9 years ago

MillardAyo

Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …

Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]

The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA KUFUTIWA HATI YA ARDHI.

Na Bashir YakubMakala  zilizopita  nilieleza   mazingira ya  kisheria  ambapo  mtu  anaweza   kunyanganywa  ardhi  yake  na  kufutiwa  hati  miliki  na  hatimye  ardhi  kupewa  mtu  mwingine  au  kukabidhiwa  mikononi  mwa  serikali. Nilieleza  mambo  mengi  ikiwemo   sababu  ambazo  zinaweza  kupelekea mamlaka  za  ardhi  kufuta  hati  miliki  ya mtu.  Pia  nilionya  kuwa unapomiliki  ardhi  sio  kwamba  umemaliza,  hapana,  isipokuwa  kuna umuhimu  mkubwa wa  kuzingatia  na  kufuata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mashamba ya Balali kufutiwa umiliki

MASHAMBA yanayodaiwa kumilikiwa na aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu nchini, hayati Daudi Balali yameridhiwa na Baraza la Madiwani wilayani Kilombero kufutiwa umiliki wake. Taarifa ya Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Daudi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wachimbaji hatarini kufutiwa umiliki

Wachimbaji wadogo 37 wanaomiliki leseni za uchimbaji dhahabu mkoani Singida, wapo hatarini kupoteza leseni hizo kutokana na kushindwa kutekeleza matakwa ya kanuni na sheria zinazodhibiti madini.

 

11 years ago

Habarileo

Migodi 18 ya tanzanite kufutiwa leseni

MIGODI 18 ya madini aina ya tanzanite yaliyopo Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara inafutiwa leseni ya uchimbaji baada ya wamiliki wa migodi hiyo kukiuka sheria ya madini.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva wanuka pombe kufutiwa leseni

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harison Mwakyembe na Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakionesha ripoti ya hali ya ajali zinazosababishwa na mabasi Dar es Salaam jana. Ripoti hiyo iliandaliwa na kamati maalumu iliyoundwa kutokana na mawaziri wa wizara nne kutafuta suluhisho la ajali za mabasi nchini. (Picha na Mroki Mroki).KAMATI Maalumu iliyoundwa na Serikali kutathmini ongezeko la ajali za barabarani nchini, imependekeza madereva watakaokutwa wakinukia pombe, wafutiwe leseni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nchi zenye Ebola kufutiwa madeni

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imetaka mataifa na mashirika yanayotoa mikopo kutafakari kwa kina uwezekano wa kufutilia mbali mikopo iliyopewa mataifa yaliyoathirika zaidi na Ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani