Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zaidi ya NGOs 1000 kufutiwa usajili nchini

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anatarajia kuyafutia usajili zaidi ya Mashirika 1000 kutokana na kutotimiza matakwa ya kisheria katika utendaji kazi wake tangu yasajiliwe.
 Hatua hiyo inatokana na maelekezo ya Bodi ya Uratibu ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali katika kikao chake kilichofanyika hivi karibuni mkoani Geita. 
Kufutwa kwa mashirika tajwa kunatokana na kushindwa kutoa taarifa zake za kila mwaka kama inavyosisitizwa na sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24, 2002...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Makandarasi wabishi kufutiwa usajili

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo ameitaka Bodi ya Usajili ya Makandarasi Tanzania (CRB), kuwabana na kuwafutia usajili makandarasi ambao hawafuati na kuzingatia sheria za ujenzi.

 

10 years ago

Michuzi

TFDA YAFUTA USAJILI NA KUDHIBITI ZAIDI MATUMIZI YA BAADHI YA DAWA ZA BINADAMU NCHINI

 Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na waandishi wa habari katika kueleza maamuzi ya TFDA kufuta usajili na kubadili matumizi ya baadhi ya dawa nchini. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa TFDA Makao Mkuu
 Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imezifutia Usajili wa Dawa tano  za Binadamu kutokana na kuwepo makosa mbalimbali.         Hayo yameelewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi mkuu   TFDA Bwana Hiiti...

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KUSUDIO LA KUFUTIA USAJILI NGOs AMBAZO HAZIJAWASILISHA TAARIFA ZA MWAKA


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO 

 

9 years ago

Michuzi

Zaidi ya vijana 1000 wapata mafunzo bora ya Kilimo

Maneja wa Mradi wa Kilimo Klabu wa Vodacom Tanzania, Frank Madebwe(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa Semina ya Vijana iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam iliyohusu masuala ya Kilimo na biashara ”Youth and Agriculture” iliyoandaliwa na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na masuala ya kilimo na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya kilimo klabu,Kushoto ni Doris Chaula na Faraja Alex ambao ni washiriki wa semina...

 

9 years ago

GPL

ZAIDI YA VIJANA 1000 WAPATIWA MAFUNZO BORA YA KILIMO

Maneja wa Mradi wa Kilimo Klabu wa Vodacom Tanzania, Frank Madebwe(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa Semina ya Vijana iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam iliyohusu masuala ya Kilimo na biashara ”Youth and Agriculture” iliyoandaliwa na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na masuala ya kilimo na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya kilimo...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB YATOA SOMO KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI ZAIDI YA 1000 KUHUSU KUWEKA AKIBA

Zaidi ya wajasiriamaili wanawake 1000 kutoka katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamepata mafunzo ya kuwajengea uwezo wakati wa tamasha la Mwanamke na Akiba, 2014 lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala.
Akizungumzia Tamasha hilo, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, Naima Malima alisema kuwa lengo la semina hiyo ni kuchochea utamaduni wa kuweka akiba kwa wanawake wajasiriamali na kuwaelimisha aina tofauti ya kuweka...

 

5 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona

 Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi 1040 wa utawala huo ghasibu wamewekwa chini ya karantini kutokana na virusi vya corona.

Televisheni ya al Alam imenukuu taarifa iliyotolewa na Aviv Kochavi, mkuu wa majeshi ya Israel akisema kuwa, utawala huo umechukua hatua hiyo ili kupunguza idadi ya wanajeshi wake waliokumbwa na virusi hatari vya corona.

Siku ya Ijumaa pia utawala wa Kizayuni ulitangaza kuwa, mwanajeshi yeyote wa utwaala huo hana ruhusa ya kuondoka kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Takriban watu 1000 wamekufa kutokana na wimbi la joto linalovuma nchini India.

1270976373314773061

Watafiti wamesajili kiwango cha juu mno cha nyuzijoto 48’C katika maeneo mengi nchini humo ambapo vifo vingi zaidi vimeripotiwa katika majimbo ya kusini ya Telangana na Andhra Pradesh, ambapo watu 140 wamepoteza maisha yao kuanzia jumamosi wimbi hilo la joto lilipotokea hata hivyo hadi kufia leo Mei 27, tayari zaidi ya watu 1,000, wamelipotiwa kupoteza maisha yao.

Mji wa Allahabad ulioko Uttar Pradesh ulisajili vipimo vya nyuzijoto 48C huku wakaazi wa mji mkuu wa India New Delhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani