Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA KUSUDIO LA KUFUTIA USAJILI NGOs AMBAZO HAZIJAWASILISHA TAARIFA ZA MWAKA


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya NGOs 1000 kufutiwa usajili nchini

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anatarajia kuyafutia usajili zaidi ya Mashirika 1000 kutokana na kutotimiza matakwa ya kisheria katika utendaji kazi wake tangu yasajiliwe.
 Hatua hiyo inatokana na maelekezo ya Bodi ya Uratibu ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali katika kikao chake kilichofanyika hivi karibuni mkoani Geita. 
Kufutwa kwa mashirika tajwa kunatokana na kushindwa kutoa taarifa zake za kila mwaka kama inavyosisitizwa na sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24, 2002...

 

10 years ago

CloudsFM

Nachukizwa na ‘Artwork’ Ambazo Sina Taarifa Nazo: WEMA

Wema: Nachukizwa na ‘Artwork’ Ambazo Sina Taarifa NazoNachukizwa sana pale napoona mtu kaenda kutengeneza Artwork ambayo mimi binafsi sina taarifa nayo... Nimeona Artwork yenye picha yangu niliovaa bazee la njano ikisema Wema Sepetu Vyiti maalum 2015 -2020... Kwanza kakosea neno Viti maana sio Vyiti... Naomba aliopost hio artwork aitoe kwa heshima na taadhima... Pale zitakapokuwa tayari za kwangu basi nadhani mtaanza kuiona kupitia ukurasa wangu ambao ni huu hapa... Ile picha kwanza ni picha ya zamani sana na pale ambapo wameweka rangi ya Green...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema: Nachukizwa na ‘Artwork’ Ambazo Sina Taarifa Nazo

Nachukizwa sana pale napoona mtu kaenda kutengeneza Artwork ambayo mimi binafsi sina taarifa nayo... Nimeona Artwork yenye picha yangu niliovaa bazee la njano ikisema Wema Sepetu Vyiti maalum 2015 -2020... Kwanza kakosea neno Viti maana sio Vyiti... Naomba aliopost hio artwork aitoe kwa heshima na taadhima... Pale zitakapokuwa tayari za kwangu basi nadhani mtaanza kuiona kupitia ukurasa wangu ambao ni huu hapa... Ile picha kwanza ni picha ya zamani sana na pale ambapo wameweka rangi ya Green...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Fahamu taarifa ghushi ambazo zimesambaa Afrika

Fahamu baadhi ya taarifa za uwongo kuhusu virusi vya corona zinazosambaa katika nchi za Afrika.

 

5 years ago

Michuzi

ACHENI KUTOA TAARIFA AMBAZO SIO SAHIHI, TUENDELEENI KUWA WAZALENDO

Na  Ahmed Mahmoud ArushaWIZA ya maliasili na Utalii Imejipanga kuhuisha sekta ya Utalii nchini kwa kushirikiana na wadau wa Utalii baada ya watalii kuonyesha nia ya kuja nchini kuanzia mwezi ujao.
Suala hilo limekuja wakati dunia ilipojipata kwenye kisa cha Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu Covid 19 Unaosababishwa na virusi vya Corona na kuzifanya nchi nyingi dunia kufunga mipaka yao kudhibiti janga hilohuku Watalii wengi wakisitisha safari zao za kuja nchini.
Kwa Muktadha huo kwa siku za...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Taarifa ambazo si sahihi kuhusu corona zimetapakaa Afrika?

Madai kuhusu virusi Corona ambayo hayana udhibitisho zimetapakaa katika mataifa mbalimbali Afrika.

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?

Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta.  Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015.  Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni.  Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE  Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani