Nachukizwa na ‘Artwork’ Ambazo Sina Taarifa Nazo: WEMA
Nachukizwa sana pale napoona mtu kaenda kutengeneza Artwork ambayo mimi binafsi sina taarifa nayo... Nimeona Artwork yenye picha yangu niliovaa bazee la njano ikisema Wema Sepetu Vyiti maalum 2015 -2020... Kwanza kakosea neno Viti maana sio Vyiti... Naomba aliopost hio artwork aitoe kwa heshima na taadhima... Pale zitakapokuwa tayari za kwangu basi nadhani mtaanza kuiona kupitia ukurasa wangu ambao ni huu hapa... Ile picha kwanza ni picha ya zamani sana na pale ambapo wameweka rangi ya Green...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Jul
Wema: Nachukizwa na ‘Artwork’ Ambazo Sina Taarifa Nazo
Nachukizwa sana pale napoona mtu kaenda kutengeneza Artwork ambayo mimi binafsi sina taarifa nayo... Nimeona Artwork yenye picha yangu niliovaa bazee la njano ikisema Wema Sepetu Vyiti maalum 2015 -2020... Kwanza kakosea neno Viti maana sio Vyiti... Naomba aliopost hio artwork aitoe kwa heshima na taadhima... Pale zitakapokuwa tayari za kwangu basi nadhani mtaanza kuiona kupitia ukurasa wangu ambao ni huu hapa... Ile picha kwanza ni picha ya zamani sana na pale ambapo wameweka rangi ya Green...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PJIvQ2Zg2P0/XrvAiqm2ygI/AAAAAAAAJYs/fbtxQA3uLKQPPC82mk6iFIYf8oibJdZ0wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200512_171200_000.jpg)
ACHENI KUTOA TAARIFA AMBAZO SIO SAHIHI, TUENDELEENI KUWA WAZALENDO
Suala hilo limekuja wakati dunia ilipojipata kwenye kisa cha Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu Covid 19 Unaosababishwa na virusi vya Corona na kuzifanya nchi nyingi dunia kufunga mipaka yao kudhibiti janga hilohuku Watalii wengi wakisitisha safari zao za kuja nchini.
Kwa Muktadha huo kwa siku za...
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Fahamu taarifa ghushi ambazo zimesambaa Afrika
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--J4roocGS4E/U7z-XnLRjZI/AAAAAAAFzv8/edwLNezyzOY/s72-c/download+(1).jpg)
TANGAZO LA KUSUDIO LA KUFUTIA USAJILI NGOs AMBAZO HAZIJAWASILISHA TAARIFA ZA MWAKA
![](http://3.bp.blogspot.com/--J4roocGS4E/U7z-XnLRjZI/AAAAAAAFzv8/edwLNezyzOY/s1600/download+(1).jpg)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO
9 years ago
Bongo Movies03 Jan
Wema Sepetu: Sina Mpango wa Kuzaa
Katika page yake ya instagram, staa mrembo Wema Sepetu aka Madame amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kiposti
![WEMA341](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/01/WEMA341.jpg)
“Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u… Nd wish u da best… I...
5 years ago
BBCSwahili25 Apr
Virusi vya Corona: Taarifa ambazo si sahihi kuhusu corona zimetapakaa Afrika?
5 years ago
RFI16 Feb
New Banksy artwork vandalised
5 years ago
The Guardian15 Feb
Banksy artwork in Bristol is vandalised days after appearing