TAARIFA YA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA MKOA WA PWANI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-udD93lTQZiU/VCCImdtdiXI/AAAAAAAGlJo/TMcAs58xEA8/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
USAJILI WA MAOMBI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAANZA MKOA WA MOROGORO
![](http://1.bp.blogspot.com/-udD93lTQZiU/VCCImdtdiXI/AAAAAAAGlJo/TMcAs58xEA8/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nLWmySw7MOY/U0Kvwac0HnI/AAAAAAAFZMI/jTYMKav7nWs/s72-c/unnamed.jpg)
Usajili Vitambulisho vya Taifa waanza Pemba
![](http://1.bp.blogspot.com/-nLWmySw7MOY/U0Kvwac0HnI/AAAAAAAFZMI/jTYMKav7nWs/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7LhCmtEg1a8/VDmb9SpKFrI/AAAAAAAGpU4/gow4WepxIGI/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
Usajili Vitambulisho vya Taifa wabishahodi Ruvuma
Na Thomas William Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imekutana na uongozi wa mkoa wa Ruvuma kwa lengo la kuweka mpango kazi madhubuti wa usajili wa watu katika mkoa huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 27, 2014. Akifungua kikao hicho cha kazi Oktoba 11, 2014, Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joseph Mkirikiti amesema viongozi wa wote wa mkoa huo wanatakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo lenye manufaa makubwa kiuchumi, kijamii na ulinzi na usalama wa Taifa letu. Amesema...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TfsamXCldlo/VB3rvX03nUI/AAAAAAAGkzk/fyhnwOMITIk/s72-c/images.jpg)
Usajili Vitambulisho vya Taifa wazinduliwa Morogoro
![](http://2.bp.blogspot.com/-TfsamXCldlo/VB3rvX03nUI/AAAAAAAGkzk/fyhnwOMITIk/s1600/images.jpg)
Usajili na Utambuzi wa watu katika mkoa wa Morogoro umezinduliwa rasmi Septemba 20, 2014 na Mkuu wa Mkoa wa huo, Joel Bendera katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Morogoro.
Akizindua zoezi hilo aliwasisitiza wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa mamlaka za Serikali za Mitaa, makatibu tawala wilaya na viongozi wote kufikia ngazi ya kijiji na mtaa kuhakikisha kwamba wanashiriki kikamilifu katika kufanikisha usajili wa watu katika mkoa wake.
Alisema viongozi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wEcDC09QP-I/U_AAGUVDInI/AAAAAAAGAEY/a6ZHuljnJ4g/s72-c/unnamed%2B(47).jpg)
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) yazindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara
![](http://4.bp.blogspot.com/-wEcDC09QP-I/U_AAGUVDInI/AAAAAAAGAEY/a6ZHuljnJ4g/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Vitambulisho vya uraia kuondoa usajili feki
Imeelezwa kuwa vitambulisho vya uraia vitakuwa suluhisho la usajili feki wa laini za simu katika maeneo mbalimbali nchini.
10 years ago
Mwananchi13 May
Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa
>Kazi ya uchukuaji alama za vidole na picha kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa, imeanza mjini Tanga na dosari kadhaa zimeripotiwa, ikiwamo wananchi kusota muda mrefu kwenye vituo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPjMlrraIsoe4TThDbOG6qurh5qc4AtHMTm8AOn3br7mJ--1PIGDcUjNaBa2f3C8beYNFUGHsniUjv38OllwGmOs/IDNIGERIA.jpg)
NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA
Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan akiwa na mfano wa kitambulisho chake cha taifa. NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa kwanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni. Rais Jonathan akitumia...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Milioni 6 waandikishwa vitambulisho vya Taifa
WATU zaidi ya milioni 6.1 wameshaandikishwa kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa na kati yao milioni 2.5 wameshapatiwa vitambulisho tangu zoezi hilo lizinduliwe mwezi Februari 2013.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania