Usajili Vitambulisho vya Taifa waanza Pemba
![](http://1.bp.blogspot.com/-nLWmySw7MOY/U0Kvwac0HnI/AAAAAAAFZMI/jTYMKav7nWs/s72-c/unnamed.jpg)
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kesho inatarajia kuanza kuwasajili wakazi wa Pemba baada ya kukamilisha zoezi hilo Unguja. Wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi hili wakiwa na nakala za viambatisho muhimu vinavyithibitisha uraia, umri na makazi. Zoezi linahusisha ujazaji fomu na uchukuaji alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki. Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa Ofisi ya Vuai Musa Suleima (wapili kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-udD93lTQZiU/VCCImdtdiXI/AAAAAAAGlJo/TMcAs58xEA8/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
USAJILI WA MAOMBI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAANZA MKOA WA MOROGORO
![](http://1.bp.blogspot.com/-udD93lTQZiU/VCCImdtdiXI/AAAAAAAGlJo/TMcAs58xEA8/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7LhCmtEg1a8/VDmb9SpKFrI/AAAAAAAGpU4/gow4WepxIGI/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
Usajili Vitambulisho vya Taifa wabishahodi Ruvuma
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TfsamXCldlo/VB3rvX03nUI/AAAAAAAGkzk/fyhnwOMITIk/s72-c/images.jpg)
Usajili Vitambulisho vya Taifa wazinduliwa Morogoro
![](http://2.bp.blogspot.com/-TfsamXCldlo/VB3rvX03nUI/AAAAAAAGkzk/fyhnwOMITIk/s1600/images.jpg)
Usajili na Utambuzi wa watu katika mkoa wa Morogoro umezinduliwa rasmi Septemba 20, 2014 na Mkuu wa Mkoa wa huo, Joel Bendera katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Morogoro.
Akizindua zoezi hilo aliwasisitiza wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa mamlaka za Serikali za Mitaa, makatibu tawala wilaya na viongozi wote kufikia ngazi ya kijiji na mtaa kuhakikisha kwamba wanashiriki kikamilifu katika kufanikisha usajili wa watu katika mkoa wake.
Alisema viongozi...
11 years ago
Michuzi07 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wEcDC09QP-I/U_AAGUVDInI/AAAAAAAGAEY/a6ZHuljnJ4g/s72-c/unnamed%2B(47).jpg)
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) yazindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara
![](http://4.bp.blogspot.com/-wEcDC09QP-I/U_AAGUVDInI/AAAAAAAGAEY/a6ZHuljnJ4g/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Vitambulisho vya uraia kuondoa usajili feki
10 years ago
Mtanzania12 May
Vitambulisho vya Mzanzibari vyazua balaa Pemba
Na Mwandishi Wetu, Pemba
HALI ya siasa visiwani Zanzibar imeanza kuwa tete baada ya wabunge na wawakilishi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuwaongoza wananchi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani kisiwani Pemba waweze kupewa vitambulisho vya Mzanzibari mkaazi.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya tangazo lililotolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Hemed Suleiman Abdallah la kuwataka wabunge na wawakilishi kwenda kuwahamasisha wananchi wakachukue vitambulisho vyao.
Kutokana na hali hiyo Mbunge wa...
10 years ago
Mwananchi13 May
Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Mchakato wa Vitambulisho vya Taifa uboreshwe