Vitambulisho vya Mzanzibari vyazua balaa Pemba
Na Mwandishi Wetu, Pemba
HALI ya siasa visiwani Zanzibar imeanza kuwa tete baada ya wabunge na wawakilishi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuwaongoza wananchi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani kisiwani Pemba waweze kupewa vitambulisho vya Mzanzibari mkaazi.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya tangazo lililotolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Hemed Suleiman Abdallah la kuwataka wabunge na wawakilishi kwenda kuwahamasisha wananchi wakachukue vitambulisho vyao.
Kutokana na hali hiyo Mbunge wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Mar
Vitambulisho vya Uzanzibari vyazua sokomoko
11 years ago
Habarileo21 Mar
Wahimizwa kuchukua vitambulisho vya Mzanzibari
WAZANZIBARI wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuchukua vitambulisho vya Mzanzibari mkazi ambavyo ni haki ya kila mwananchi mwenye umri wa kuanzia miaka 18.
10 years ago
Habarileo04 Jun
‘Vitambulisho vya Mzanzibari Mkazi havitolewi kisiasa’
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalumu, Haji Omar Kheir amesema si kweli kwamba vitambuliho vya Mzanzibari mkazi, vinatolewa kwa malengo ya kisiasa.
11 years ago
MichuziUsajili Vitambulisho vya Taifa waanza Pemba
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW.SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYA SHILINGI MILIONI 8 MJINI WETE PEMBA
Bw.Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo viatu,...
10 years ago
Michuzi08 Oct
MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW.SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIIONI 8 MJINI WETE PEMBA
Bw..Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW. SULEIMAN SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIIONI 8 MJINI WETE PEMBA
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Vitambulisho vya kielektroniki kutumika TZ
10 years ago
Mwananchi13 May
Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa