Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Vitambulisho vya Mzanzibari Mkazi havitolewi kisiasa’

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalumu, Haji Omar KheirWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalumu, Haji Omar Kheir amesema si kweli kwamba vitambuliho vya Mzanzibari mkazi, vinatolewa kwa malengo ya kisiasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wahimizwa kuchukua vitambulisho vya Mzanzibari

WAZANZIBARI wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuchukua vitambulisho vya Mzanzibari mkazi ambavyo ni haki ya kila mwananchi mwenye umri wa kuanzia miaka 18.

 

10 years ago

Mtanzania

Vitambulisho vya Mzanzibari vyazua balaa Pemba

Na Mwandishi Wetu, Pemba
HALI ya siasa visiwani Zanzibar imeanza kuwa tete baada ya wabunge na wawakilishi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuwaongoza wananchi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani kisiwani Pemba waweze kupewa vitambulisho vya Mzanzibari mkaazi.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya tangazo lililotolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Hemed Suleiman Abdallah la kuwataka wabunge na wawakilishi kwenda kuwahamasisha wananchi wakachukue vitambulisho vyao.
Kutokana na hali hiyo Mbunge wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa

>Kazi ya uchukuaji alama za vidole na picha kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa, imeanza mjini Tanga na dosari kadhaa zimeripotiwa, ikiwamo wananchi kusota muda mrefu kwenye vituo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vitambulisho vya kielektroniki kutumika TZ

Tanzania, ambayo pia ni mwanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki bado haijaanza matumizi ya vitambulisho hivyo na utoaji wake unaendelea.

 

10 years ago

Mwananchi

Adakwa na vitambulisho zaidi ya 40 vya kura

Mkazi wa Shikombe wilayani Geita, Buhula Ngassa (47) amekamatwa na vitambulisho 43 vya wapiga kura, hata hivyo amedai vilikuwa vya wateja wake waliofika kwake kusajili simu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Vitambulisho vya bima ni lulu- NHIF

DSC07977

Afisa wa Mfuko wa Taifa Bima ya Afya (NHIF) mkoa wa Singida, Isaya Shekifu akiwahamasisha madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Singida, juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko huo ili kujihakikishia kupata matibabu hata wakati hawana fedha.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

WANACHAMA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoa wa Singida wameaswa kutunza vizuri vitambulisho vyao kwa madai kuwa vitambulisho hivyo ni sawa na kuwa na fedha taslimu.

Afisa wa Mfuko wa Taifa wa...

 

10 years ago

GPL

NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan akiwa na mfano wa kitambulisho chake cha taifa. NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa kwanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni. Rais Jonathan akitumia...

 

11 years ago

Habarileo

Vitambulisho vya kura kutolewa upya

VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wapigakura. Mchakato huo wa kutoa vitambulisho upya, utakaotekelezwa Septemba mwaka huu, utagharimu Sh bilioni 293 .

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Uzanzibari vyazua sokomoko

>Vyama vya upinzani Zanzibar, vimeshauri Sheria ya Uzanzibari ya Ukaazi ifanyiwe marekebisho kabla ya utaratibu wa uandikishaji wapigakura unaotarajiwa kuanza mwezi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani