NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA
![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPjMlrraIsoe4TThDbOG6qurh5qc4AtHMTm8AOn3br7mJ--1PIGDcUjNaBa2f3C8beYNFUGHsniUjv38OllwGmOs/IDNIGERIA.jpg)
Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan akiwa na mfano wa kitambulisho chake cha taifa. NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa kwanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni. Rais Jonathan akitumia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wEcDC09QP-I/U_AAGUVDInI/AAAAAAAGAEY/a6ZHuljnJ4g/s72-c/unnamed%2B(47).jpg)
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) yazindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara
![](http://4.bp.blogspot.com/-wEcDC09QP-I/U_AAGUVDInI/AAAAAAAGAEY/a6ZHuljnJ4g/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
10 years ago
BBCSwahili29 Aug
Nigeria yazindua vitambulisho vyake
10 years ago
Mwananchi13 May
Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Mchakato wa Vitambulisho vya Taifa uboreshwe
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Vitambulisho vya Taifa bado ni kitendawili
10 years ago
Habarileo03 Jun
Milioni 6 waandikishwa vitambulisho vya Taifa
WATU zaidi ya milioni 6.1 wameshaandikishwa kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa na kati yao milioni 2.5 wameshapatiwa vitambulisho tangu zoezi hilo lizinduliwe mwezi Februari 2013.
10 years ago
Vijimambo29 Mar
Wahamiaji haramu 15 wanaswa vitambulisho vya taifa
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/uhamiaji-march29-2015.jpg)
Idara ya Uhamiaji mkoani Pwani imenasa majina 15 ya watu wanaodaiwa kuwa wahamiaji haramu waliojiandikisha kwenye Zoezi la Vitambulisho vya Taifa.
Afisa uhamiaji mkoani Pwani, Grace Hokororo, ameiambia NIPASHE kuwa tayari wamepata majina hayo ambapo hatua inayofuata ni kuwakamata na kuwahoji ili kupata uhalali wa uraia wao.
“Tutachukua maelezo yao tukiridhika kuwa si raia wa Tanzania tutawachukulia hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kuwapeleka...
11 years ago
Habarileo10 Jul
‘Vitambulisho vya Taifa si mbadala wa kadi ya mpigakura’
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva amesema vitambulisho vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) si mbadala wa kadi ya mpiga kura.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uIMYSxhmCdk/U7KnG8D2HLI/AAAAAAACkmI/IMznMNgQG8c/s72-c/05_12_9rh7q1.jpg)
VITAMBULISHO VYA TAIFA KUWAFIKIA LINDI NA MTWARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-uIMYSxhmCdk/U7KnG8D2HLI/AAAAAAACkmI/IMznMNgQG8c/s1600/05_12_9rh7q1.jpg)
Aidha Mkurugenzi huyo amesema kuwa baada ya kukamilisha zoezi hilo katika mikoa ya Dar es Salaam na mikoa yote mitano ya Zanzibar sasa wanaelekea katika mikoa hiyo .
Akizungumza katika...