Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vitambulisho vya Taifa bado ni kitendawili

Tuliwahi kusema katika safu hii kwamba mpango wa Serikali wa kuandikisha wananchi ili kuwapatia vitambulisho vya Taifa hautafanikiwa kama matatizo yaliyokuwa yakigubika mpango huo hayangepatiwa ufumbuzi wa kudumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa

>Kazi ya uchukuaji alama za vidole na picha kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa, imeanza mjini Tanga na dosari kadhaa zimeripotiwa, ikiwamo wananchi kusota muda mrefu kwenye vituo.

 

10 years ago

Habarileo

Milioni 6 waandikishwa vitambulisho vya Taifa

WATU zaidi ya milioni 6.1 wameshaandikishwa kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa na kati yao milioni 2.5 wameshapatiwa vitambulisho tangu zoezi hilo lizinduliwe mwezi Februari 2013.

 

10 years ago

GPL

NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan akiwa na mfano wa kitambulisho chake cha taifa. NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa kwanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni. Rais Jonathan akitumia...

 

11 years ago

Mwananchi

Mchakato wa Vitambulisho vya Taifa uboreshwe

Mchakato wa kupatikana kwa vitambulisho vya Taifa unaoendelea jijini Dar es Salaam umeanza kuibua maswali kama kweli wananchi wote nchi nzima watakuwa wamepata vitambulisho hivyo kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na hata kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

MCHAKATO WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WILAYA YA ILALA

Utoaji wa vitambulisho vya taifa unaendelea jijini Dar es Salaam ambapo Father Kidevu Blog ilitembelea moja ya kituo cha kutolea vitambulisho hicho kilichopo Ilala Bungoni na kukuta umati wa watu ukisubiri kupatiwa vitambulisho vyao. Katika eneo hilo kuna mitaa mbalimbali wengi ikiwa ni kutoka maeneo ya Vingunguti, Buguruni hadi Ilala mchikichini. Watu wa Pugu na maenweo ya Gongo la Mboto na Vitongoji vyake pia wanaendelea kupatiwa vitambulisho hivyo.Wananchi wakisubiri kupatiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Nida yafafanua uchukuaji vitambulisho vya taifa

>Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema kila mwananchi aliyejiandikisha, atapata kitambulisho chake.

 

10 years ago

Michuzi

Usajili Vitambulisho vya Taifa wabishahodi Ruvuma

 Na Thomas William  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imekutana na uongozi wa mkoa wa Ruvuma kwa lengo la kuweka mpango kazi madhubuti wa usajili wa watu katika mkoa huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 27, 2014.  Akifungua kikao hicho cha kazi Oktoba 11, 2014, Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joseph Mkirikiti amesema viongozi wa wote wa mkoa huo wanatakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo lenye manufaa makubwa kiuchumi, kijamii na ulinzi na usalama wa Taifa letu.  Amesema...

 

11 years ago

Habarileo

‘Vitambulisho vya Taifa si mbadala wa kadi ya mpigakura’

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian LubuvaMWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva amesema vitambulisho vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) si mbadala wa kadi ya mpiga kura.

 

10 years ago

Michuzi

Usajili Vitambulisho vya Taifa wazinduliwa Morogoro

Na Thomas William,Morogoro.
Usajili na Utambuzi wa watu katika mkoa wa Morogoro umezinduliwa rasmi Septemba 20, 2014 na Mkuu wa Mkoa wa huo, Joel Bendera katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Morogoro.
Akizindua zoezi hilo aliwasisitiza wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa mamlaka za Serikali za Mitaa, makatibu tawala wilaya na viongozi wote kufikia ngazi ya kijiji na mtaa kuhakikisha kwamba wanashiriki kikamilifu katika kufanikisha usajili wa watu katika mkoa wake.
Alisema viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani