MCHAKATO WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WILAYA YA ILALA

Utoaji wa vitambulisho vya taifa unaendelea jijini Dar es Salaam ambapo Father Kidevu Blog ilitembelea moja ya kituo cha kutolea vitambulisho hicho kilichopo Ilala Bungoni na kukuta umati wa watu ukisubiri kupatiwa vitambulisho vyao. Katika eneo hilo kuna mitaa mbalimbali wengi ikiwa ni kutoka maeneo ya Vingunguti, Buguruni hadi Ilala mchikichini. Watu wa Pugu na maenweo ya Gongo la Mboto na Vitongoji vyake pia wanaendelea kupatiwa vitambulisho hivyo.
Wananchi wakisubiri kupatiwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Mchakato wa Vitambulisho vya Taifa uboreshwe
11 years ago
Michuzi
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana azindua rasmi utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi Wilaya ya Kinondoni

.jpg)
10 years ago
Mwananchi13 May
Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa
11 years ago
GPL
NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA
10 years ago
Habarileo03 Jun
Milioni 6 waandikishwa vitambulisho vya Taifa
WATU zaidi ya milioni 6.1 wameshaandikishwa kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa na kati yao milioni 2.5 wameshapatiwa vitambulisho tangu zoezi hilo lizinduliwe mwezi Februari 2013.
11 years ago
Mwananchi21 Sep
Vitambulisho vya Taifa bado ni kitendawili
11 years ago
Michuzi
Usajili Vitambulisho vya Taifa waanza Pemba

11 years ago
Michuzi
Usajili Vitambulisho vya Taifa wazinduliwa Morogoro

Usajili na Utambuzi wa watu katika mkoa wa Morogoro umezinduliwa rasmi Septemba 20, 2014 na Mkuu wa Mkoa wa huo, Joel Bendera katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Morogoro.
Akizindua zoezi hilo aliwasisitiza wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa mamlaka za Serikali za Mitaa, makatibu tawala wilaya na viongozi wote kufikia ngazi ya kijiji na mtaa kuhakikisha kwamba wanashiriki kikamilifu katika kufanikisha usajili wa watu katika mkoa wake.
Alisema viongozi...
11 years ago
Habarileo09 Feb
NIDA waomba uvumilivu vitambulisho vya taifa
MKURUGENZI wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu amewataka watanzania kuwa wavumilivu katika usajili wa vitambulisho ingawa inachukua muda mrefu kwa sababu kitambulisho wanachopata ni muhimu sana.