Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria yazindua vitambulisho vyake

Nchi ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan akiwa na mfano wa kitambulisho chake cha taifa. NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa kwanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni. Rais Jonathan akitumia...

 

9 years ago

Global Publishers

Tihad Yazindua Mfumo wa Kisasa wa Usimamizi wa Mizigo, Viwanja Vyake vya Ndege

Etihad Airways' Boeing 787 set to fly to five further destinations in 2016Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

10 years ago

Michuzi

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) yazindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara

Ndugu Joseph Makani, Mkurugenzi Mifumo ya Komputa akisoma hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, wakati wa uzinduzi wa kuanza kwa zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara.Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imezindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa wananchi na wakazi wa mkoa wa Mtwara, zoezi ambalo litadumu kwa siku 14 kuanzia Jumatatu tarehe 18/08/2014. Akizungumza katika sherehe fupi ya uzinduzi wa zoezi hilo kwa niaba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola na Vibweka vyake

Mwanafunzi Amara kutoka Sierra Leone amekua akikataliwa kupanga katika jiji la Norwich kwa hofu huenda ana virusi vya ugonjwa wa Ebola

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge limalize viporo vyake

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekuwa na viporo vingi ambavyo havijatolewa uamuzi na kiti cha spika kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Bunge. Kwa mujibu wa kanuni...

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:itapunguza vikosi vyake DRC

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limepitisha azimio la kupunguza vikosi vyake vilivyoko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo -DRC-

 

9 years ago

Mtanzania

Manji ataja vipaumbele vyake

Manji_fullNA HERIETH FAUSTINE, DAR ES SALAAM

MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Manji, amesema akishinda atahakikisha anaanza na elimu, afya, kuboresha huduma ya maji na kutoa ahadi kwa vijana.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika Viwanja vya Zakhem.

“Suala la elimu limekuwa tatizo katika kata hiyo, hivyo nitatoa shilingi milioni 200 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia kujenga miundombinu ya elimu,” alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

MARIO BALOTELLI NA VITUKO VYAKE

Mario Balotelli ni mchezaji wa Liverpool alipost picha hii kwenye page yake ya Instagram akiangalia timu yake kupitia tv akiwa nyumbani. Liverpool na Chelsea walipepetana kugombea kikombe cha Capital One na timu hizo zilitoshana nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja Balotelli akuweza kuwepo uwanjani kwa vile ni mgonjwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mandela aliacha viatu vyake TZ?

Zipo taarifa kwamba kabla ya kufungwa jela, Marehemu Nelson Mandela aliwahi kuishi nchini Tanzania na familia moja ambapo wakati anaondoka aliacha baadhi ya vitu, vikiwemo viatu .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani