Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MARIO BALOTELLI NA VITUKO VYAKE

Mario Balotelli ni mchezaji wa Liverpool alipost picha hii kwenye page yake ya Instagram akiangalia timu yake kupitia tv akiwa nyumbani. Liverpool na Chelsea walipepetana kugombea kikombe cha Capital One na timu hizo zilitoshana nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja Balotelli akuweza kuwepo uwanjani kwa vile ni mgonjwa.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yamnyakua Mario Balotelli

Klabu ya Liverpool imemnyakua mshambuliaji machachari Mario Balotelli kwa paundi milioni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mario Balotelli aepuka lawama

Polisi hawatachukua hatua zaidi dhidi ya mshambuliaji wa timu ya Liverpool Mario Baloteli

 

11 years ago

GPL

MARIO BALOTELLI AJIACHIA NA MPENZI WAKE

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Italia na Klabu ya AC Milan, Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha mjini Miami Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha huku wakifurahia jambo.…

 

10 years ago

TheCitizen

Mancini rules out Inter bid for misfiring Mario Balotelli

New Inter Milan coach Roberto Mancini said he had no plans to bring Mario Balotelli back to the Serie A club after beginning his second spell with the Nerazzurri on Saturday.

 

11 years ago

GPL

CRISTIANO RONALDO 'AKOPI NA KUPESTI' STAILI YA MARIO BALOTELLI

Cristiano Ronaldo (kushoto) akishangilia bao lake la penalti dhidi ya Atletico Madrid. Kulia ni Mario Balotelli alipofunga bao katika nusu fainali ya Euro 2012 kati ya Italia na Ujerumani. MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, ‘amekopi na kupesti’ staili ya mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli baada ya kufunga bao la nne dhidi ya Atletico Madrid kwenye Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mario Gemina kuchezea Gabon

Mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa ya chipukizi Mario Lemina amesema yuko tayari kuichezea timu ya taifa ya soka ya Gabon

 

11 years ago

BBCSwahili

Mchezaji mkongwe Mario Coluna afariki

Aliyekuwa nahodha wa timu ya soka ya Benfica kutoka Msumbiji Mario Coluna amefariki Msumbuji

 

11 years ago

Dewji Blog

Germany wins World Cup on Mario Goetze’s brilliance

55cc71a1f0b295347c19f34533f920681455150394-1405287111-53c2fac7-620x348

Germany’s Mario Goetze celebrates after scoring against Argentina.

 Germany became World Cup champion for the fourth time on Sunday night, and the first European team in history to clinch soccer’s greatest prize on South American soil.

It did so courtesy of a winner deep into extra time from substitute Mario Goetze, who displayed a brilliant piece of skill to decide a contest of outstanding quality.

Goetze took a pass from the left from Andre Schurrle in the 113th minute of action, trapped...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani