Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mario Gemina kuchezea Gabon

Mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa ya chipukizi Mario Lemina amesema yuko tayari kuichezea timu ya taifa ya soka ya Gabon

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Kolo kustaafu kuchezea timu ya Taifa.

Beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast Kolo Habib Toure, ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Mara baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Mataifa huru barani Afrika mwakani

Nyota huyo mwenye miaka 33- anayecheza klabu ya Liverpool ya Uingereza ameitumikia timu yake ya taifa mara 109.

Alikuwa mmoja wa wachezaji walikuwa kwenye kikosi kilichofuzu kucheza Michezo ya Kombe la Mataifa huru mwaka 2015 inayotarajiwa kufanyika kuanzia17 Januari mpaka 8 Februari huko Equatorial Guinea.

“Nina...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kolo kuacha kuchezea Timu ya Taifa

Beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast Kolo Habib Toure, ametangaza kustaafu soka la kimataifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Fifa yabariki Okwi kuchezea Yanga

>Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), limemaliza utata kwa kumruhusu mshambuliaji Emmanuel Okwi kuitumikia Yanga kama usajili wake umekidhi vigezo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jordon Ibe aamua kuchezea Uingereza

Ibe aliyezaliwa London alikuwa amehitimu kuchezea Nigeria na Uingereza kimataifa lakini ameamua kuchezea taifa hilo la Ulaya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yamnyakua Mario Balotelli

Klabu ya Liverpool imemnyakua mshambuliaji machachari Mario Balotelli kwa paundi milioni.

 

10 years ago

Vijimambo

MARIO BALOTELLI NA VITUKO VYAKE

Mario Balotelli ni mchezaji wa Liverpool alipost picha hii kwenye page yake ya Instagram akiangalia timu yake kupitia tv akiwa nyumbani. Liverpool na Chelsea walipepetana kugombea kikombe cha Capital One na timu hizo zilitoshana nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja Balotelli akuweza kuwepo uwanjani kwa vile ni mgonjwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mario Balotelli aepuka lawama

Polisi hawatachukua hatua zaidi dhidi ya mshambuliaji wa timu ya Liverpool Mario Baloteli

 

10 years ago

Habarileo

Miaka 15 jela kwa kuchezea nyeti za mtoto

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mtoto wa miaka mitatu kwa kumchezea sehemu zake za siri kwa vidole.

 

11 years ago

GPL

MARIO BALOTELLI AJIACHIA NA MPENZI WAKE

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Italia na Klabu ya AC Milan, Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha mjini Miami Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha huku wakifurahia jambo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani