Jordon Ibe aamua kuchezea Uingereza
Ibe aliyezaliwa London alikuwa amehitimu kuchezea Nigeria na Uingereza kimataifa lakini ameamua kuchezea taifa hilo la Ulaya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/103C6/production/_85520566_ibe_getty_index.jpg)
Ibe 'commits future to England'
10 years ago
TheCitizen09 Feb
Rodgers lauds Ibe, Can after Everton Merseyside derby
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Mario Gemina kuchezea Gabon
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Kolo kuacha kuchezea Timu ya Taifa
10 years ago
StarTV03 Dec
Kolo kustaafu kuchezea timu ya Taifa.
Beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast Kolo Habib Toure, ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Mara baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Mataifa huru barani Afrika mwakani
Nyota huyo mwenye miaka 33- anayecheza klabu ya Liverpool ya Uingereza ameitumikia timu yake ya taifa mara 109.
Alikuwa mmoja wa wachezaji walikuwa kwenye kikosi kilichofuzu kucheza Michezo ya Kombe la Mataifa huru mwaka 2015 inayotarajiwa kufanyika kuanzia17 Januari mpaka 8 Februari huko Equatorial Guinea.
“Nina...
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Fifa yabariki Okwi kuchezea Yanga
10 years ago
Habarileo10 Sep
Miaka 15 jela kwa kuchezea nyeti za mtoto
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mtoto wa miaka mitatu kwa kumchezea sehemu zake za siri kwa vidole.
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Simwanda avunja rekodi ya Gaga kuchezea Taifa Stars
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Life Style:Napenda Kuchezea Kichwa Changu-Wolper
Hakuna anaeweza kupinga kuwa mrembo na moja kati ya waigizaji pendwa wa kike hapa bongo, Jackline Masawe “Wolper”ni miongoni mwamastaa wa kike wachache ambao wanapenda kubadilisha mitindo ya nywele zao mara kwa mara.
Kwa wanaomfuatilia mitandaoni watakubali kuwa haiwezi ikapita wiki bila mwanadada huyu kuonekana na “style” mpya ya nywele.
Hatimaye leo akiwa katika mtindo mpya (picha hapo juu) wa nywele, wolper alifunguka na kusema kuwa yeye anapenda kuchezea kichwa chake na kuwaonya watu...