Simwanda avunja rekodi ya Gaga kuchezea Taifa Stars
Kinda chipukizi wa Taifa Stars, Emmanuel Simwanda anayechezea African Lyon ameweka rekodi binafsi baada ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Ligi Daraja la Kwanza kuitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa zaidi ya miaka 15 iliyopita.Mara ya mwisho mchezaji asiye kwenye ligi  kucheza kwenye timu ya Taifa ilikuwa mwishoni
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycQkHB8DlzsTuGFmNQIi1ncT8Nt3IaDdHsVT-4vFGuyz2BLQ7WZpjBFI--9RAh*xciBxrgDHBqi-jNBEhTD-0c-K/kimetto.jpg?width=650)
MKENYA AVUNJA REKODI BERLIN
Dennis Kimetto. MWANARIADHA raia wa Kenya, Dennis Kimetto leo amevunja rekodi ya mbio za marathon jijini Berlin nchini Ujerumani kwa ushindi wake wa saa 2, dakika 2 na sekunde 57. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 30, amevunja rekodi hiyo akipunguza sekunde 26 katika rekodi iliyowekwa na Mkenya mwenzake Wilson Kipsang ya 2: 03: 23 katika mashindano hayo yaliyofanyika mwaka jana jijini Berlin. Kimetto amesema: "najisikia vizuri...
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Lewandowski avunja rekodi ya mabao
Robert Lewandowski ameweka rekodi ya mabao matano yaliyofungwa kwa kasi zaidi na mchezaji mmoja Bundesliga.
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
Ronaldo avunja rekodi ya Messi
Christiano Ronaldo amevunja rekodi ya ufungaji mabao mengi katika ligi ya mabingwa barani Uropa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCs0qM3i91EH3PeCMRWq3dVvqPOQ9VaXHEz-7OuiVe*8RqFD-2RDv1vjoLRP-Cbi-uQX2zaBtTo6pZIYMO253n-w/Diamond.jpg)
DIAMOND AVUNJA REKODI MAENEO MENGI
WIKI iliyopita katika simulizi hii ya Diamond tuliishia pale ambapo staa huyo aliongelea namna wimbo wake wa Mbagala ulivyopendwa kiasi cha kumfanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ‘JK’ kumteua kuwa mburudishaji kwenye ziara za kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, mwaka 2010.Wiki hii tunaendelea… Mkali wa Bongo fleva Nasib Abdul Diamond Platinumz. Oktoba 2, mwaka 2010, Diamond...
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Messi avunja rekodi ya kombe la Ulaya
Tunamuangazia Lionel Messi aliyevunja rekodi ya mabao mengi katika dimba la vilabu bingwa Ulaya.
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Gatlin avunja rekodi ya Diamond League
Mwanariadha wa Marekani Justin Gatlin ameishinda rekodi ya Usain Bolt na kuweka rekodi mpya katika mbio za Diamond League za mita 100.
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Rooney avunja rekodi ya magoli England
Wayne Rooney ameivunja rekodi ya upachikaji mabao ya muda wote katika timu ya taifa ya England, iliyokuwa ikishikiliwa na Sir Bobby Charlton.
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
Klose avunja rekodi ya ufungaji mabao
Mshambulizi wa Ujerumani Miroslav Klose amevunja rekodi ya kuwa mfungaji mabao mengi zaidi ya kombe la dunia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania