Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Klose avunja rekodi ya ufungaji mabao

Mshambulizi wa Ujerumani Miroslav Klose amevunja rekodi ya kuwa mfungaji mabao mengi zaidi ya kombe la dunia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Lewandowski avunja rekodi ya mabao

Robert Lewandowski ameweka rekodi ya mabao matano yaliyofungwa kwa kasi zaidi na mchezaji mmoja Bundesliga.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Klose aweka rekodi mpya ya dunia

Mshambuliaji wa Ujerumani, Miroslav Klose ameweka rekodi mpya ya ufungaji katika Fainali za Kombe la Dunia kwa kufunga mabao 16, wakati timu yake ikiibuka na ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Brazil katika mchezo wa nusu fainali juzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ronaldo avunja rekodi ya Messi

Christiano Ronaldo amevunja rekodi ya ufungaji mabao mengi katika ligi ya mabingwa barani Uropa

 

10 years ago

GPL

MKENYA AVUNJA REKODI BERLIN

Dennis Kimetto. MWANARIADHA raia wa Kenya, Dennis Kimetto leo amevunja rekodi ya mbio za marathon jijini Berlin nchini Ujerumani kwa ushindi wake wa saa 2, dakika 2 na sekunde 57. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 30, amevunja rekodi hiyo akipunguza sekunde 26 katika rekodi iliyowekwa na Mkenya mwenzake Wilson Kipsang ya 2: 03: 23 katika mashindano hayo yaliyofanyika mwaka jana jijini Berlin. Kimetto amesema: "najisikia vizuri...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gatlin avunja rekodi ya Diamond League

Mwanariadha wa Marekani Justin Gatlin ameishinda rekodi ya Usain Bolt na kuweka rekodi mpya katika mbio za Diamond League za mita 100.

 

9 years ago

GPL

JUSTINE BIEBER AVUNJA REKODI YA EMINEM

Mshkaji anayefanya poa kwenye Gemu la Muziki wa RnB Dunia, Justine Bieber . New York, Marekani MSHIKAJI anayefanya poa kwenye Gemu la Muziki wa RnB Dunia, Justine Bieber amevunja rekodi kwa kuwa Msanii Bora wa Muda Wote wa MTV EMAs baada ya kujinyakulia tuzo sita ambazo ni, Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume (Best Male Awards), Wimbo Bora wa Kushirikishana (Best Collaboration), Msanii Bora wa Kanada (Best Canadian Act), Msanii Bora...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani