Life Style:Napenda Kuchezea Kichwa Changu-Wolper
Hakuna anaeweza kupinga kuwa mrembo na moja kati ya waigizaji pendwa wa kike hapa bongo, Jackline Masawe “Wolper”ni miongoni mwamastaa wa kike wachache ambao wanapenda kubadilisha mitindo ya nywele zao mara kwa mara.
Kwa wanaomfuatilia mitandaoni watakubali kuwa haiwezi ikapita wiki bila mwanadada huyu kuonekana na “style” mpya ya nywele.
Hatimaye leo akiwa katika mtindo mpya (picha hapo juu) wa nywele, wolper alifunguka na kusema kuwa yeye anapenda kuchezea kichwa chake na kuwaonya watu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 May
Picha: Wolper Awakuna Wengi kwa ‘Style’ Hii ya Aina Yake
Staa wa Bongo Movies ambaye anasifika kwa urembo na kazi zake, Jacqueline Wolper hivi juzi kati kwenye ukurasa wake mtandaoni alibandika picha hizo hapo juu akiwa amevalia style ambayo iliwafanya mashabiki wengi bonyeze kitufe cha LIKE na kushusha comment nyingi huku kila mtu akielezea ni jinsi gani ameguswa na mtindo huo aliotupia.
Kwa maneno ya lugha yta malkia, Wolper aliandika “Fashion is just another accessory for someone with great style...” na kuweka picha hizo.
Japo wengi...
10 years ago
Bongo Movies24 Jan
Life Style: Wema Ajuta Kuweka Kope Bandia
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa asili, hataki hata kusikia.
“Jamani hakuna kitu ambacho nimekichukia kwa hivi sasa kama kope za bandia sina tena ushawishi nazo kabisa zimeharibu...
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
LIFE STYLE:Kajala na Binti Yake Paula Wananikosha Sana
Upendo wa mama kwa mtoto wake hauwezi kufananishwa na kitu chochote hapa duniani,kwa hili nadhani hakuna anaebisha.Ila ni ukweli pia wazazi hutofautiana katika kuonyesha mapezi kwa watoto wao,hapa nazungumzia mahusiano ya wazazi na watoto katika maisha ya kila siku.
Kwa sisi watoto wa maika ya 1980+ wazazi wetu wengi walitufanya tuwaogope na kuwaheshimu hata kwanidhamu ya woga, kitu ambacho mimi nakipinga sana.Leo mambo ni tofauti sana, wazazi wengi wamekuwa wakijitahidi kujenga urafiki na...
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Life style: Manaiki Sanga, Mkali wa “Selfies” Hapa Bongo!!!
‘Selfie’ ni aina ya picha ambazo watu hujipiga wenyewe kwa kutumia camera za simu zao au digital camera na mara nyingi huwa ni kwaajili ya ku-share kwenye mitandao ya kijamii.
Leo katika pitiapitia za kurasa za waigizaji wa hapa bongo, nimebaini kuwa mwigizaji Manaiki Sanga ndie msanii ambae amepiga selfies kali zaidi, hapa nazungumzia zile zinazo jumuisha watu zaidi ya mmoja.
Kama unam-follow makali huyu kwenye mtandao wa instagram, utakubaliana na mimi kuwa jamaa anapenda sana mtindo...
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Mario Gemina kuchezea Gabon
10 years ago
StarTV03 Dec
Kolo kustaafu kuchezea timu ya Taifa.
Beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast Kolo Habib Toure, ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Mara baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Mataifa huru barani Afrika mwakani
Nyota huyo mwenye miaka 33- anayecheza klabu ya Liverpool ya Uingereza ameitumikia timu yake ya taifa mara 109.
Alikuwa mmoja wa wachezaji walikuwa kwenye kikosi kilichofuzu kucheza Michezo ya Kombe la Mataifa huru mwaka 2015 inayotarajiwa kufanyika kuanzia17 Januari mpaka 8 Februari huko Equatorial Guinea.
“Nina...
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Kolo kuacha kuchezea Timu ya Taifa
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Jordon Ibe aamua kuchezea Uingereza