Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Life Style: Wema Ajuta Kuweka Kope Bandia

Mrembo na mwigizaji  wa filamu, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.

Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa asili, hataki hata kusikia.

“Jamani hakuna kitu ambacho nimekichukia kwa hivi sasa kama kope za bandia sina tena ushawishi nazo kabisa zimeharibu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA AJUTA KUWEKA KOPE BANDIA

Stori: Imelda Mtema/Risasi
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa...

 

11 years ago

GPL

BI. MWENDA ABANDIKA KOPE ZA BANDIA

Stori: Hamida Hassan
LICHA ya umri kumtupa mkono, mkongwe wa sanaa ya maigizo Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ amewastaajabisha mashabiki wake baada ya kunaswa akiwa amebandika kope za bandia. Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’. Tukio hilo lilijiri juzikati jijini Dar wakati staa huyo alipokuwa katika harakati za hapa na pale ndipo paparazi wetu alipomshtukia na kumtandika picha kadhaa kisha kumuuliza,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Life Style:Napenda Kuchezea Kichwa Changu-Wolper

Hakuna anaeweza kupinga kuwa mrembo na moja kati ya waigizaji pendwa wa kike hapa bongo, Jackline Masawe “Wolper”ni miongoni mwamastaa wa kike wachache ambao wanapenda kubadilisha mitindo ya nywele zao mara kwa mara.

Kwa wanaomfuatilia mitandaoni watakubali kuwa haiwezi ikapita wiki bila mwanadada huyu kuonekana na “style” mpya ya nywele.

Hatimaye leo akiwa katika mtindo mpya (picha hapo juu) wa nywele, wolper alifunguka na kusema kuwa yeye anapenda kuchezea kichwa chake na kuwaonya watu...

 

10 years ago

Bongo Movies

LIFE STYLE:Kajala na Binti Yake Paula Wananikosha Sana

Upendo wa mama kwa mtoto wake hauwezi kufananishwa na kitu chochote hapa duniani,kwa hili nadhani hakuna anaebisha.Ila ni ukweli pia wazazi  hutofautiana katika kuonyesha mapezi kwa watoto wao,hapa nazungumzia mahusiano ya wazazi na watoto katika maisha ya kila siku.

Kwa sisi watoto wa maika ya 1980+ wazazi wetu wengi walitufanya tuwaogope na kuwaheshimu hata kwanidhamu ya woga, kitu ambacho mimi nakipinga sana.Leo mambo ni tofauti sana, wazazi wengi wamekuwa wakijitahidi kujenga urafiki na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Life style: Manaiki Sanga, Mkali wa “Selfies” Hapa Bongo!!!

‘Selfie’ ni  aina ya picha ambazo watu hujipiga wenyewe kwa kutumia camera za simu zao au  digital camera na mara nyingi huwa ni kwaajili ya ku-share kwenye mitandao ya kijamii.

Leo katika pitiapitia za kurasa za waigizaji wa hapa bongo, nimebaini kuwa mwigizaji Manaiki Sanga ndie msanii ambae amepiga selfies kali zaidi, hapa nazungumzia zile zinazo jumuisha watu zaidi ya mmoja.

Kama unam-follow makali huyu kwenye mtandao wa instagram, utakubaliana na mimi kuwa jamaa anapenda sana mtindo...

 

10 years ago

GPL

WEMA JIFUNZE KUWEKA BREKI MDOMONI

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ SALAMU nyingi zikufikie mrembo usiyechuja umaarufu tangu mwaka 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ vipi uko poa? Mishemishe zinakwendaje? Ukitaka kujua afya yangu, mimi namshukuru Mungu kwani ni mzima, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Kitambo kidogo kimepita sijakuona lakini naamini u-mzima wa afya.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDIYO ANASHIKILIA REKODI YA DUNIA KUWA NA KOPE NDEFU



Valery Smagliy, 58, from Kiev, said his eyelashes grew to their astonishing length after he changed his diet and believes the key to their growth could be marketable. He has kept the amazing-looking lashes until now as he has enjoyed the attention they attract from women.

 

10 years ago

GPL

JOHARI AJUTA KUACHANA NA MCDONALD!

Brighton Masalu
BLANDINA Chagula ‘Johari’ ambaye ni mwigizaji mkongwe Bongo, amejuta kuachana na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Donald Mwakamele ‘McDonald’ kwa kusema kuwa angeendelea naye, angekuwa mwanamke mwenye heshima. Mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, staa huyo alisema vurugu za kimapenzi anazokutana nazo kila mara,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ainea sasa ajuta kupenda

MSANII anayekuja juu kwa kasi katika muziki wa kizazi kipya nchini, Kedimon Ainea, maarufu kama ‘Ainea’, anatarajia kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Najuta Kupenda’ hivi karibuni. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani