Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU NDIYO ANASHIKILIA REKODI YA DUNIA KUWA NA KOPE NDEFU



Valery Smagliy, 58, from Kiev, said his eyelashes grew to their astonishing length after he changed his diet and believes the key to their growth could be marketable. He has kept the amazing-looking lashes until now as he has enjoyed the attention they attract from women.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDIYO KAJALA MASANJA

Mwigizaji Kajala Masanja Wema alisahidia kumnusuru kutumikia kifungo jail lakini sasa uwezi kuamini wawili hawa hawapikiki chungu kimoja unaweza kujifunza nini kutoka kwao?. Au unafikiri ni nini kimesababisha haya yote kutokea?.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo5

Rekodi mpya ya Youtube yafikiwa, huyu ni mtu wa kwanza kufikisha views bilioni 10 za video zake!

PewDiePie kwa wale ambao hawamfahamu ndio mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Youtube. Hadi sasa PewDiePie ana zaidi ya subscribers milioni 39. Weekend hii mtu huyo alifikisha views bilioni 10 za video zake zote kwa pamoja, kitu ambacho kimevunja rekodi ya mtandao wa Youtube kwakuwa imevuka kaunta yake (kikomo cha views). Hii si […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Huyu hapa ndiyo Zinedine Zidane mpya kwa mujibu wa Kocha wa Barcelona, Luis Enrique

Kiungo chipukizi wa Barcelona, Sergi  Roberto

Kiungo chipukizi wa Barcelona, Sergi Roberto.

Na Rabi Hume

Kocha wa klabu ya Barcelona, Mhispania Luis Enrique amemtaja kiungo anayechupukia katika kikosi chake Sergi Roberto,23 kama Zinedine Zidane mpya kutokana na aina ya uchezaji wake.

Enrique amesema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya Hispania maarufu kama Primera Division uliyoikutanisha timu yake ya Barcelona na klabu ya Getafe na Barcelona kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa bila, magoli yakifungwa na Luis Suarez na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Fiji 38-0 Micronesia,rekodi ya dunia ?

Timu ya taifa ya Micronesia ilichapwa 30-0 na Tahiti na kisha iliambulia mvua ya mabao 38 mikononi mwa Fiji katika mechi ya kufuzu kwa Olimpiki

 

9 years ago

Dewji Blog

Hii ndiyo rekodi waliyojiwekea Bayern Munich katika uwanja wao wa nyumbani Allianz Arena kwa msimu wa 2015/2016

Kikosi cha Bayern Munich

Kikosi cha Bayern Munich.

Nembo ya Bayern Munich

Nembo ya Bayern Munich.

Na Rabi Hume

Klabu ya Bayern Munich inayoshiriki ligi kuu ya nchini Ujerumani (Bundesliga) msimu wa 2015 imeanza msimu huu kitofauti kutokana na kasi walionayo katika michezo ya Bundesliga na Ligi ya Mabingwa barani Ulaya jambo limelofanya timu hiyo kuvunja rekodi  ya kushinda mechi nyingi mfululizo na kuwe na wastani mzuri wa magoli wawapo nyumbani.

Tangu kuanza kwa msimu huu Bayern Munich wamejiwekea rekodi ya kuwa na wastani mkubwa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

9 years ago

Mtanzania

Mtanzania apania rekodi ya dunia kupanda Mlima Kilimanjaro

IMG_2171NA FESTO POLEA

MTANZANIA mzaliwa wa Mkoa wa Iringa, Julio Ludago, anatarajia kuvunja rekodi ya dunia ya kupanda na kushuka Mlima Kilimanjaro kwa kutumia muda mfupi zaidi bila kuwa na usaidizi wowote.

Mtanzania huyo anayefanya kazi katika kampuni ya kutembeza watalii ya Ahsante Tours, anataka kuvunja rekodi mbili kubwa zaidi zilizowekwa na Mswisi na Mtanzania, siku ya Septemba 27 mwaka huu, atakapopanda mlima huo.

Ecuadorian Karl Egloff kutoka Uswisi ndiye anayeshikilia rekodi ya kupanda na...

 

10 years ago

Michuzi

ZIETLOF AVUNJA REKODI NYINGINE YA DUNIA AKIWA TANZANIA



 Dereva Toka  Nchini Ujerumani Rainer Zietlof akiwa na Meneja mkuu wa Alliance Autos Bwana Wayne Mcintosh(wa pili toka kulia)wakipata picha ya pamoja na wanahabari Meneja Mkuu wa Alliance Autos Wayne Mcintosh(kushoto) Akipata picha na Dereva Toka  Nchini Ujerumani Rainer Zietlof

 Meneja Masoko wa Alliance Autos Tharaia Ahmed(kushoto)akipata picha na Dereva Rainer Zietlof


Meneja mkuu wa Alliance Autos Bwana Wayne Mcintosh akisoma cheti cha rekodi ya dunia alichopewa dereva toka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani