Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ainea sasa ajuta kupenda

MSANII anayekuja juu kwa kasi katika muziki wa kizazi kipya nchini, Kedimon Ainea, maarufu kama ‘Ainea’, anatarajia kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Najuta Kupenda’ hivi karibuni. Akizungumza na Tanzania Daima...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MARIAH CAREY: SASA NAWEZA KUPENDA

Staa wa muziki wa Pop, Mariah Carey STAA wa muziki wa Pop, Mariah Carey ameweka bayana kuwa sasa anaweza kupenda tena baada ya kuachana na mzazi mwenzake, Nick Cannon. Mariah Carey akiwa na aliyekuwa mumewe Nick Cannon.
Staa huyo alisema kuwa lolote linawezekana chini ya jua na kwamba akipata anayempenda, hatajizuia kuwa naye hadharani.Akizungumza na  tovuti ya people.com, staa huyo alisema kwamba hatasita… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Hulka Sasa Kitu Kikali Filamu ya Kupenda Kubaya

Kampuni ya usambazaji wa filamu Bongo ya Saprima Distributors inatarajia kuachia bonge la movie la KUPENDA KUBAYA ni kutoka kwa mtayarishaji Yule Yule wa filamu ya Hulka iliyotesa na kufunika kazini kibao Swahilihood Madebe Lindai anatamba kuwa sinema ya KUPENDA KUBAYA ni kazi nzuri sana.

“Kaka hapa mtoto hatumwi sokoni kama mboga wacha iungue tu maana filamu ya kupenda kubaya imetendewa haki kwa kila aliyeshiriki katika sinema hiyo asikwambie mtu wasanii wameigiza katika ushindani mkubwa...

 

10 years ago

GPL

KABULA AJUTA KUMPENDA BUSHOKE

Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
BAADA ya hivi karibuni kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Maximilian Bushoke, msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kwamba hahitaji tena mwanaume kwa sasa. Msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ akipozi. Akipiga stori na paparazi wetu, Jini Kabula alisema kutokana na kwamba alikaa kwenye uhusiano wa kimapenzi...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AJUTA KUPIGA MITUNGI

Stori: Imelda Mtema KAJALA Masanja, amefunguka kuwa anajuta kunywa pombe baada ya kumsababishia maumivu makali hivi karibuni. Msanii wa Muvi Bongo Kajala Masanja Kajala ambaye anakimbiza kunako anga la filamu Bongo, amesema anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo sasa siku hiyo alikunywa sana pombe na kujikuta akipata maumivu makali tumboni.
“Najuta mwenzenu siku ile kunywa pombe maana maumivu niliyoyapata...

 

10 years ago

GPL

NORA AJUTA KUWAHI KUOLEWA

Stori: Imelda Mtema
MAJUTO! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka kuwa siku zote katika maisha yake anajuta kuolewa mapema kwani asingefanya hivyo angeweza kufanya mambo mengi na angekuwa mbali sana kisanii na kielimu. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ akipozi. Nora alisema kuwa kipindi alipoolewa na aliyekuwa mganga wa tiba za asili, marehemu Ngwizikulu Jilala,...

 

10 years ago

GPL

JOHARI AJUTA KUACHANA NA MCDONALD!

Brighton Masalu
BLANDINA Chagula ‘Johari’ ambaye ni mwigizaji mkongwe Bongo, amejuta kuachana na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Donald Mwakamele ‘McDonald’ kwa kusema kuwa angeendelea naye, angekuwa mwanamke mwenye heshima. Mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, staa huyo alisema vurugu za kimapenzi anazokutana nazo kila mara,...

 

11 years ago

GPL

HAFSA KAZINJA AJUTA KUACHIKA

Stori: Hamida Hassan
STAA aliyewahi kutamba na songi la Presha, Hafsa Kazinja amesema anajuta kuachika kwenye ndoa aliyokuwa ameolewa awali nje ya nchi na iwapo atampata mume mwingine hatafanya makosa tena.
Hafsa alifunguka hayo juzikati alipokuwa kwenye ‘Kitchen party’ ya mdada aliyetambulika kwa jina la Nadhifa Ahmada iliyofanyika Sinza, jijini Dar. Staa wa muziki wa Kibongo, Hafsa Kazinja. “Mwenzenu...

 

10 years ago

Mwananchi

Sakho ajuta kuikosa Afcon 2015

Mshambuliaji wa West Ham na Senegal, Diafra Sakho amesema alikuwa mwenye huzuni na hasira kutokana na taarifa zilizosambazwa kuwa atakosa fainali za Mataifa ya Afrika 2015.

 

10 years ago

GPL

CATHY AJUTA KUJIUNGA BONGO MUVI

Stori: Gladness Mallya
MSANII mkongwe kwenye filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa anajutia maisha aliyokuwa akiishi kipindi alipokuwa Bongo Movie Unity kwani alipoteza muelekeo kutokana na ile kasumba ya kukaa Viwanja vya Leaders kila kukicha kwa mambo yasiyokuwa na tija. Msanii mkongwe kwenye filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Cathy alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani