Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KABULA AJUTA KUMPENDA BUSHOKE

Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
BAADA ya hivi karibuni kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Maximilian Bushoke, msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kwamba hahitaji tena mwanaume kwa sasa. Msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ akipozi. Akipiga stori na paparazi wetu, Jini Kabula alisema kutokana na kwamba alikaa kwenye uhusiano wa kimapenzi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Jini Kabula Afunguka Kumpenda Mwisho

Staa wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’amefunguka na kusema wazi kuwa anampenda staa mwenzake, Mwisho Mwampamba kwa kile alichodai kuwa ana roho nzuri, na kusisitiza kuwa kwa sasa yeye hana mahusianao ya mwanaume wa kitanzania na ieleweke hiyo.

Kabula  aliyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kubandika picha ya Mwisho.

“Wee ndo mchizi wangu jambazi wangu nakupendaga tu kwa roho yako mzungu wangu ndo vile ukiibukaga Tanzania nakuwaga happy....sihitaji fununu...

 

10 years ago

GPL

JINI KABULA, BUSHOKE WAMWAGANA

Na Mayasa Mariwata/UWAZI
MSANII wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Ruta Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha ndoa tena. Msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’. Akizungumza na Uwazi, Kabula alitoa ya rohoni na kusema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya kuona mwenzake haoneshi msimamo katika mkakati wao wa kuoana hivyo kwa sasa...

 

10 years ago

GPL

JINI KABULA AMSHANGAA BUSHOKE!

Imelda Mtema MIRIAM Jolwa, maarufu kama Jini Kabula, ambaye ni staa kutoka Bongo Movie, amemshangaa aliyekuwa mpenzi wake, Ruta Bushoke kumkana kuwa hawajawahi kuwa wapenzi.Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni, Kabula alisema maneno ya mkali huyo wa muziki wa Kizazi Kipya yanaashiria kama mtu anayechanganyikiwa, kwani asingeweza kujinadi kuwa ni mpenziwe kama haikuwa hivyo. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TofnAr ...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA: PIGA UA BUSHOKE ANANIOA

Na Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya penzi lake na msanii Maximilian Bushoke kuwa na sarakasi nyingi lakini anaamini atamuoa. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ Akizungumza na paparazi wetu, Jini alisema watu wengi wamekuwa wakiuponda uhusiano wake kwa kuwa Bushoke anaishi Afrika Kusini na kuona hakuna mapenzi...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA: NAMSUBIRI BUSHOKE TUFUNGE NDOA


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko Afrika Kusini. Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’. Akipiga stori na gazeti hili, Kabula alisema: “Ndoa yangu itakuwa na Bushoke tu. Sijali umbali wetu,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!!

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ambae hivi karibuni aliripotiwa kuachana  na mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke ambae alikuwa mpenzi wake wa muda mrefu.

Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa  katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza  kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno  ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.

“With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.

Mashabiki wake walimpongeza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ainea sasa ajuta kupenda

MSANII anayekuja juu kwa kasi katika muziki wa kizazi kipya nchini, Kedimon Ainea, maarufu kama ‘Ainea’, anatarajia kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Najuta Kupenda’ hivi karibuni. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AJUTA KUPIGA MITUNGI

Stori: Imelda Mtema KAJALA Masanja, amefunguka kuwa anajuta kunywa pombe baada ya kumsababishia maumivu makali hivi karibuni. Msanii wa Muvi Bongo Kajala Masanja Kajala ambaye anakimbiza kunako anga la filamu Bongo, amesema anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo sasa siku hiyo alikunywa sana pombe na kujikuta akipata maumivu makali tumboni.
“Najuta mwenzenu siku ile kunywa pombe maana maumivu niliyoyapata...

 

10 years ago

GPL

NORA AJUTA KUWAHI KUOLEWA

Stori: Imelda Mtema
MAJUTO! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka kuwa siku zote katika maisha yake anajuta kuolewa mapema kwani asingefanya hivyo angeweza kufanya mambo mengi na angekuwa mbali sana kisanii na kielimu. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ akipozi. Nora alisema kuwa kipindi alipoolewa na aliyekuwa mganga wa tiba za asili, marehemu Ngwizikulu Jilala,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani