JINI KABULA: PIGA UA BUSHOKE ANANIOA
![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxaDMdCIR8XKEwkDbslVwrXu1D7t9r*g9AkDdL7*VhSsWknyYr6Nd2MlQME1MJUHrHQx6Lm4u0ltMZlHh90ZYsJf/jini.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya penzi lake na msanii Maximilian Bushoke kuwa na sarakasi nyingi lakini anaamini atamuoa. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ Akizungumza na paparazi wetu, Jini alisema watu wengi wamekuwa wakiuponda uhusiano wake kwa kuwa Bushoke anaishi Afrika Kusini na kuona hakuna mapenzi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSkY48Hq9C4Enymn9a2RPRC1qpbVttMjh*QUJXGBigDsqQ-c23HYwaCDpaJnd3cJIBvYzm*VhJbEamkpgrBeF4wU/Picture146.jpg?width=650)
JINI KABULA AMSHANGAA BUSHOKE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ*uTMXPV5v*XoLekZsm5zUNfyWPTNbe7l6TSrWcYrDt90*4u6KUmlcbn6gde7yNOwrNedT15I9M8HSO4d*6a54Z/Bushoke.jpg)
JINI KABULA, BUSHOKE WAMWAGANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9wY6nHswW4xRLaFbcguw7-FkKF59wpn*H-7HMyVhW5NARrcndZdxwFfZClObKmjl-QYxwq*K8BK3kh1mL7iELqP30SPE-27/JINIKABULA.jpg?width=650)
JINI KABULA: NAMSUBIRI BUSHOKE TUFUNGE NDOA
10 years ago
Bongo Movies05 Feb
Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ambae hivi karibuni aliripotiwa kuachana na mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke ambae alikuwa mpenzi wake wa muda mrefu.
Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.
“With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.
Mashabiki wake walimpongeza...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-sTTx-2PstxkaElaJAR9I6oRf-JedhDMxksBcZwlYPL7AmRUk1bY49WhtZSI16u3PHiOnJgt5YQl-P0FKrxsqZ-/KABURA.jpg?width=650)
KABULA AJUTA KUMPENDA BUSHOKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vlz-VcMBEuk5ZpjIoVID1nOBdbhR3N7SaDNeyE3QQ9gMEZ0smGtZSVI-9j2EDKT6fo5WL-8QWeagTbb*lsqbWIGwTdWN9nck/jgg.jpg?width=650)
MADAI JINI KABULA AREKODIWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsumuk83cfZL6bNuz*kWM1tVuVRs9DtUoeK9Cj7tgZLj27QjrESXlAm*gRTMSyUZV7VvNaOiSW9S9iTjHw6FFwPws/JINI.jpg)
JINI KABULA ANASWA MTUMBANI
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Jini kabula amwanika wa ubani wake
Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.
NA gladness mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ hivi karibuni alimwanika mpenzi wake kwenye mtandao wa kijamii wa WhatsApp na kuambatanisha na maneno ya kimahaba.
Jini Kabula aliweka picha ya mpenzi wake huyo ambaye hakutaka kumtaja jina huku akiambatanisha na maneno ya kimahaba na alipoulizwa kuhusu suala la ndoa alisema halipo bali ni marafiki tu.
“Huyu ni rafiki yangu sana na niliweka picha tukiwa pamoja kwenye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYBwQ2KHIXulRs5ydKeX1MFFbE30YkvSEZaIsSU3RmCVYDdfbFrW41*kebqasjRTnLOHFCstd0CG0*Em9Zg3GS4cm/odama.jpg?width=650)
JINI KABULA AMTAKA CHUZ AOE