JINI KABULA ANASWA MTUMBANI

Stori: Issa Mnally WAKATI mastaa hupendelea kufanya shopping katika maduka makubwa, msanii wa filamu Miriam Jolwa maarufu kama Jini Kabula, mwishoni mwa wiki iliyopita alinaswa akichagua gauni alilodai ni la harusi katika duka la mitumba lililopo Makumbusho jijini Dar. Msanii wa filamu, Miriam Jolwa maarufu kama Jini Kabula akiwa na rafiki yake Isabela wakifanya shopping katika duka la mitumba. Msanii huyo akiwa na rafiki yake,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
JINI KABULA, BUSHOKE WAMWAGANA
10 years ago
GPL
JINI KABULA AMSHANGAA BUSHOKE!
10 years ago
GPL
MADAI JINI KABULA AREKODIWA
10 years ago
Bongo Movies15 Mar
Jini Kabula Afunguka Kumpenda Mwisho
Staa wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’amefunguka na kusema wazi kuwa anampenda staa mwenzake, Mwisho Mwampamba kwa kile alichodai kuwa ana roho nzuri, na kusisitiza kuwa kwa sasa yeye hana mahusianao ya mwanaume wa kitanzania na ieleweke hiyo.
Kabula aliyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kubandika picha ya Mwisho.
“Wee ndo mchizi wangu jambazi wangu nakupendaga tu kwa roho yako mzungu wangu ndo vile ukiibukaga Tanzania nakuwaga happy....sihitaji fununu...
11 years ago
GPL
JINI KABULA AITWA CHINA KUJIUZA
11 years ago
GPL
JINI KABULA, ISABELA WAMALIZA BIFU
11 years ago
GPL
JINI KABULA ACHARUKA VIMINI RAMADHANI
10 years ago
Bongo Movies14 May
Jini Kabula Atulizwa na Mpenzi Wake
Baada ya kuachana na mwanamuziki Ruta Bushoke ‘Bushoke’, staa wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kudai kwamba mpenzi wake mpya hataki aende kwenye kumbi za starehe.
Kabula bila kumtaja mpenzi wake huyo mpya, alidai kwamba amekatazwa na hatakiwi kuzungumzia habari za kwenda kwenye kumbi za starehe.
“Nimeamua kupunguza kwenda kwenye kumbi za starehe kwa sababu niko bize na mpenzi wangu na pia kwa sasa naandika filamu na nyimbo kwa ajili ya mradi wangu mpya wa hivi...
10 years ago
Bongo Movies23 Mar
Jini Kabula Afakamia ‘Mikuku’ Uwanjani!
Staa wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ juzikati alinaswa akifakamia minofu ya kuku katika ya kadamnasi iliyojitokeza katika Dimba la Taifa jijini Dar.
Tukio hilo lilinaswa Machi 17, mwaka huu ndani ya uwanja ambapo kulikuwa na mtanange kati ya Yanga na Kagera Sugar.
Akiwa uwanjani hapo muda mfupi kabla ya mechi kuanza, Jini Kabula alishuhudiwa akifakamia ‘mikuku’ na rafiki zake, jambo lililowafanya baadhi ya mashabiki wanaomfahamu kumkodolea macho muda mwingi.
Pamoja na hali...