Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JINI KABULA, BUSHOKE WAMWAGANA

Na Mayasa Mariwata/UWAZI
MSANII wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Ruta Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha ndoa tena. Msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’. Akizungumza na Uwazi, Kabula alitoa ya rohoni na kusema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya kuona mwenzake haoneshi msimamo katika mkakati wao wa kuoana hivyo kwa sasa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JINI KABULA AMSHANGAA BUSHOKE!

Imelda Mtema MIRIAM Jolwa, maarufu kama Jini Kabula, ambaye ni staa kutoka Bongo Movie, amemshangaa aliyekuwa mpenzi wake, Ruta Bushoke kumkana kuwa hawajawahi kuwa wapenzi.Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni, Kabula alisema maneno ya mkali huyo wa muziki wa Kizazi Kipya yanaashiria kama mtu anayechanganyikiwa, kwani asingeweza kujinadi kuwa ni mpenziwe kama haikuwa hivyo. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TofnAr ...

 

10 years ago

GPL

JINI KABULA: PIGA UA BUSHOKE ANANIOA

Na Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya penzi lake na msanii Maximilian Bushoke kuwa na sarakasi nyingi lakini anaamini atamuoa. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ Akizungumza na paparazi wetu, Jini alisema watu wengi wamekuwa wakiuponda uhusiano wake kwa kuwa Bushoke anaishi Afrika Kusini na kuona hakuna mapenzi...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA: NAMSUBIRI BUSHOKE TUFUNGE NDOA


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko Afrika Kusini. Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’. Akipiga stori na gazeti hili, Kabula alisema: “Ndoa yangu itakuwa na Bushoke tu. Sijali umbali wetu,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!!

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ambae hivi karibuni aliripotiwa kuachana  na mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke ambae alikuwa mpenzi wake wa muda mrefu.

Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa  katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza  kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno  ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.

“With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.

Mashabiki wake walimpongeza...

 

10 years ago

GPL

KABULA AJUTA KUMPENDA BUSHOKE

Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
BAADA ya hivi karibuni kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, Maximilian Bushoke, msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kwamba hahitaji tena mwanaume kwa sasa. Msanii wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ akipozi. Akipiga stori na paparazi wetu, Jini Kabula alisema kutokana na kwamba alikaa kwenye uhusiano wa kimapenzi...

 

10 years ago

GPL

MADAI JINI KABULA AREKODIWA

Musa mateja na Imelda Mtema
SHABAAASH! Staa aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, anadaiwa kurekodiwa mkanda wa ngono na kusambazwa katika mitandao ya kijamii, Amani linakupa stori kamili. Staa aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’. Chanzo cha habari hii kimeeleza kwamba, tukio hilo...

 

10 years ago

GPL

JINI KABULA ANASWA MTUMBANI

Stori: Issa Mnally WAKATI mastaa hupendelea kufanya shopping katika maduka makubwa, msanii wa filamu Miriam Jolwa maarufu kama Jini Kabula, mwishoni mwa wiki iliyopita alinaswa akichagua gauni alilodai ni la harusi katika duka la mitumba lililopo Makumbusho jijini Dar. Msanii wa filamu, Miriam Jolwa maarufu kama Jini Kabula akiwa na rafiki yake Isabela wakifanya shopping katika duka la mitumba. Msanii huyo akiwa na rafiki yake,...

 

10 years ago

GPL

JINI KABULA AMTAKA CHUZ AOE

Stori: Gladness Mallya/Risasi Mwigizaji aliyekwenda hewani Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amemtaka mzazi mwenziye, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ aoe ili kulinda heshima yake. Mzazi mwenza wa ‘Jini Kabula’, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ akipozi. Akizungumzia maisha yake ya uhusiano mbele ya mwanahabari wetu, Kabula alisema anajivunia kuzaa na Chuz lakini kwa kuwa yeye hakupanga...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA, ISABELA WAMALIZA BIFU

Stori: Gladness Mallya PEACE! Baada ya wasanii wawili waliokuwa wanaunda Kundi la Scorpion Girls, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ na Isabela Mpanda kuwa kwenye bifu kwa miezi kadhaa, hatimaye wamepatana. Wasanii wawili waliokuwa wanaunda Kundi la Scorpion Girls, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ na Isabela Mpanda wakiwa kwenye picha ya pamoja. chanzo makini ambacho ni rafiki wa karibu na wasanii hao kikizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani