JOHARI AJUTA KUACHANA NA MCDONALD!
![](http://api.ning.com:80/files/pBrEDFyKDmOIqj6z9ZKCMsDmS1uzicNd2WVdHWBJeEChWXS44WIOa-KDl5I-k594wy*wtTn5JrAeF0aU-E4N6lGxy-5pGToP/Johari.gif?width=650)
Brighton Masalu BLANDINA Chagula ‘Johari’ ambaye ni mwigizaji mkongwe Bongo, amejuta kuachana na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Donald Mwakamele ‘McDonald’ kwa kusema kuwa angeendelea naye, angekuwa mwanamke mwenye heshima. Mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, staa huyo alisema vurugu za kimapenzi anazokutana nazo kila mara,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
5 years ago
BBC14 Apr
China McDonald apologises for Guangzhou ban on black people
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-sTTx-2PstxkaElaJAR9I6oRf-JedhDMxksBcZwlYPL7AmRUk1bY49WhtZSI16u3PHiOnJgt5YQl-P0FKrxsqZ-/KABURA.jpg?width=650)
KABULA AJUTA KUMPENDA BUSHOKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUS1fS7yK03LizTo0D6OQEK3qF*UNUUVbX8R2GAi1C8SHhmjmkjsAOu*R4eqd9BvG-YkLqeavrV6Ic3Nhq2nmOpo/hafsa.jpg?width=650)
HAFSA KAZINJA AJUTA KUACHIKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz60rxGXoADjuk-nV-bS55FMK4mGE5lBjzgyUGkxO4dqiam5GBBp0Ez-NyDRKt0AahHSlhO1LXj94uIZ29bBQo6eu/nora.jpg)
NORA AJUTA KUWAHI KUOLEWA
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Ainea sasa ajuta kupenda
MSANII anayekuja juu kwa kasi katika muziki wa kizazi kipya nchini, Kedimon Ainea, maarufu kama ‘Ainea’, anatarajia kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Najuta Kupenda’ hivi karibuni. Akizungumza na Tanzania Daima...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0Tmlw9KuHqAGy*PefSqsHnXZLM3sXfOabYBS-P8vf-6aoCrRM9UI*Qsh5gT2Kh5wWEID*z6bdyGv8VzFSCT2glpd6/KAJALA.jpg)
KAJALA AJUTA KUPIGA MITUNGI
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Sakho ajuta kuikosa Afcon 2015
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Di Maria ajuta kujiunga na Man United