MARIAH CAREY: SASA NAWEZA KUPENDA
Staa wa muziki wa Pop, Mariah Carey STAA wa muziki wa Pop, Mariah Carey ameweka bayana kuwa sasa anaweza kupenda tena baada ya kuachana na mzazi mwenzake, Nick Cannon. Mariah Carey akiwa na aliyekuwa mumewe Nick Cannon. Staa huyo alisema kuwa lolote linawezekana chini ya jua na kwamba akipata anayempenda, hatajizuia kuwa naye hadharani.Akizungumza na tovuti ya people.com, staa huyo alisema kwamba hatasita… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo505 Jun
New Video: Mariah Carey — Infinity
10 years ago
Africanjam.Com9 years ago
Bongo517 Dec
Mariah Carey to perform in South Africa in 2016
On Monday (14 December) Live Nation and Big Concerts announced that American singer-songwriter and actress Mariah Carey is making her first trip to the country in 2016 for her ‘Sweet Sweet Fantasy’ tour.
Following the success of her Las Vegas residency the diva is set to entertain adoring fans on 1 & 2 May 2016 at Ticketpro Dome.
The star has said, “Lambily, it’s been too long!! I’m so excited to be coming to South Africa to perform for you all. I promise we’re going to share the most...
10 years ago
Bongo521 Aug
Mariah Carey na Nick Cannon watengana, talaka inafuata
10 years ago
VijimamboALICHOKIFANYA NICK CANNON KUFUTA JINA LA MARIAH CAREY MGONGONI
Nick Cannon na Mariah Carey wakiwa kwenye mahaba nitoe roho Nick alijichora jina la Mariah mgongoni kuashiria kuwa mahaba nitoe roho yake yamefika kikomo. Sasa basi ni miezi inakatika toka wanandoa hao wamwagane kiroho baridi ni pale Mariah Carey alivyoshitukia kuwa Nick alikuwa na michepuko ya hapa na pale. Sasa jitiririshe na alichokifanya Nick kufuta jina la mama watoto wake huyo alilokuwa ameliandika mgongini kwake. Na alichokisema Mariah Carey live bila king'amuzi cha Azam hapa chini.
10 years ago
GPLNICK CANNON AMFUTA ZAIDI MARIAH CAREY KWA TATTOO
10 years ago
GPLMARIAH CAREY, NICK CANON WABWAGANA BAADA YA MIAKA SITA
10 years ago
Michuzi
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10