Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Mariah Carey — Infinity

Mariah Carey ametoa video yake mpya ya wimbo “Infinity” kutoka kwenye album yake mpya ya Infinity. Related Tags:

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

10 years ago

GPL

MARIAH CAREY: SASA NAWEZA KUPENDA

Staa wa muziki wa Pop, Mariah Carey STAA wa muziki wa Pop, Mariah Carey ameweka bayana kuwa sasa anaweza kupenda tena baada ya kuachana na mzazi mwenzake, Nick Cannon. Mariah Carey akiwa na aliyekuwa mumewe Nick Cannon.
Staa huyo alisema kuwa lolote linawezekana chini ya jua na kwamba akipata anayempenda, hatajizuia kuwa naye hadharani.Akizungumza na  tovuti ya people.com, staa huyo alisema kwamba hatasita… ...

 

9 years ago

Bongo5

Mariah Carey to perform in South Africa in 2016

mariah SA

On Monday (14 December) Live Nation and Big Concerts announced that American singer-songwriter and actress Mariah Carey is making her first trip to the country in 2016 for her ‘Sweet Sweet Fantasy’ tour.

mariah SA

Following the success of her Las Vegas residency the diva is set to entertain adoring fans on 1 & 2 May 2016 at Ticketpro Dome.

The star has said, “Lambily, it’s been too long!! I’m so excited to be coming to South Africa to perform for you all. I promise we’re going to share the most...

 

10 years ago

Bongo5

Mariah Carey na Nick Cannon watengana, talaka inafuata

Imebainika kuwa Mariah Carey na Nick Cannon wametangana tangu May mwaka huu na wamekuwa wakiishi mbalimbali. Mtandao wa TMZ umedai kuwa mawakili wa masuala ya talaka wamekuwa wakijadiliana nao kuhusiana na kugawana mali na nani ataishi na watoto wao na kwamba talaka imekamilika. Vyanzo vilivyo karibu na wanandoa hao vimedai kuwa Mariah na Nick wamekuwa […]

 

10 years ago

GPL

NICK CANNON AMFUTA ZAIDI MARIAH CAREY KWA TATTOO

Tattoo mpya ya Nick Cannon. Kushoto ni tattoo ya jina la Mariah Carey ikiwa mgongoni mwa Nick na kulia ni tattoo aliyochora baada ya kuachana naye. RAPPA, komedian na mwigizaji wa Marekani, Nicholas Scott "Nick" Cannon ameamua kumfutilia mbali mkewe wa zamani Mariah Carey kwa tattoo nyingine zaidi mgongoni mwake. Awali Nick Cannon (34) aliamua kufuta tattoo ya jina la mkewe Mariah Carey aliyeachana naye mwaka jana kwa tattoo ya...

 

10 years ago

GPL

MARIAH CAREY, NICK CANON WABWAGANA BAADA YA MIAKA SITA

Mariah Carey alipokuwa mjamzito ILE ndoa ya kijana mdogo, msanii Nick Canon (33) na mwanadada (shuga-mami) mwimbaji Mariah Carey (44)  imefikia ukingoni baada ya kuweko kwa miaka sita. Wanandoa hao wakiwa na watoto wao. Hata hivyo, mtengano huo umezusha mgogoro wasiwasi mkubwa, hususani kwa Canon, kuhusu hatima ya watoto wao…

 

10 years ago

Vijimambo

ALICHOKIFANYA NICK CANNON KUFUTA JINA LA MARIAH CAREY MGONGONI


 Nick Cannon na Mariah Carey wakiwa kwenye mahaba nitoe roho Nick alijichora jina la Mariah mgongoni kuashiria kuwa mahaba nitoe roho yake yamefika kikomo. Sasa basi ni miezi inakatika toka wanandoa hao wamwagane kiroho baridi ni pale Mariah Carey alivyoshitukia kuwa Nick alikuwa na michepuko ya hapa na pale. Sasa jitiririshe na alichokifanya Nick kufuta jina la mama watoto wake huyo alilokuwa ameliandika mgongini kwake. Na alichokisema Mariah Carey live bila king'amuzi cha Azam hapa chini.

 

10 years ago

Bongo5

Nick Cannon na Mariah Carey kula Christmas pamoja licha ya kuachana

Nick Cannon na mke wake wa zamani Mariah Carey watakuwa pamoja kwenye sikukuu ya Christmas. Wawiili hao waliofungua ndoa 2008, walitangaza kutengena mapema mwaka huu, lakini Nick amethibitisha kuwa hilo haliwezi kumzuia kutumia muda na Mariah kwenye sikukuu hiyo pamoja na watoto wao mapacha Monroe na Moroccan. Mapema wiki hii pia, Nick alikanusha kuwahi kuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani