Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mariah Carey na Nick Cannon watengana, talaka inafuata

Imebainika kuwa Mariah Carey na Nick Cannon wametangana tangu May mwaka huu na wamekuwa wakiishi mbalimbali. Mtandao wa TMZ umedai kuwa mawakili wa masuala ya talaka wamekuwa wakijadiliana nao kuhusiana na kugawana mali na nani ataishi na watoto wao na kwamba talaka imekamilika. Vyanzo vilivyo karibu na wanandoa hao vimedai kuwa Mariah na Nick wamekuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NICK CANNON AMFUTA ZAIDI MARIAH CAREY KWA TATTOO

Tattoo mpya ya Nick Cannon. Kushoto ni tattoo ya jina la Mariah Carey ikiwa mgongoni mwa Nick na kulia ni tattoo aliyochora baada ya kuachana naye. RAPPA, komedian na mwigizaji wa Marekani, Nicholas Scott "Nick" Cannon ameamua kumfutilia mbali mkewe wa zamani Mariah Carey kwa tattoo nyingine zaidi mgongoni mwake. Awali Nick Cannon (34) aliamua kufuta tattoo ya jina la mkewe Mariah Carey aliyeachana naye mwaka jana kwa tattoo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

ALICHOKIFANYA NICK CANNON KUFUTA JINA LA MARIAH CAREY MGONGONI


 Nick Cannon na Mariah Carey wakiwa kwenye mahaba nitoe roho Nick alijichora jina la Mariah mgongoni kuashiria kuwa mahaba nitoe roho yake yamefika kikomo. Sasa basi ni miezi inakatika toka wanandoa hao wamwagane kiroho baridi ni pale Mariah Carey alivyoshitukia kuwa Nick alikuwa na michepuko ya hapa na pale. Sasa jitiririshe na alichokifanya Nick kufuta jina la mama watoto wake huyo alilokuwa ameliandika mgongini kwake. Na alichokisema Mariah Carey live bila king'amuzi cha Azam hapa chini.

 

10 years ago

Bongo5

Nick Cannon na Mariah Carey kula Christmas pamoja licha ya kuachana

Nick Cannon na mke wake wa zamani Mariah Carey watakuwa pamoja kwenye sikukuu ya Christmas. Wawiili hao waliofungua ndoa 2008, walitangaza kutengena mapema mwaka huu, lakini Nick amethibitisha kuwa hilo haliwezi kumzuia kutumia muda na Mariah kwenye sikukuu hiyo pamoja na watoto wao mapacha Monroe na Moroccan. Mapema wiki hii pia, Nick alikanusha kuwahi kuwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mariah Carey akila bata na bilionea aliyechukua nafasi ya Nick Cannon

Baada ya kuachana na mume wake Nick Cannon aliyezaa naye watoto wawili mapacha, Mariah Carey anaonekana kusonga mbele na kuanzisha uhusiano na bilionea James Packer, mmiliki wa macasino nchini Marekani. Mariah ameonekana akila bata la hatari na tajiri huyo anayezunguka naye kwenye nchi mbalimbali na weekend hii walikuwa Italia. Related Tags:

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Nick Cannon aifunika Tattoo ya Mariah Carey kwa kuchora nyingine juu yake

Nick Cannon aliwahi kuchora Tattoo yenye jina la mke wake ‘Mariah’ mgongoni mwake miaka kadhaa iliyopita, ikiwa ni moja ya ishara ya mapenzi moto moto. Baada ya ndoa yao kuingia dosari na kutengana hivi karibuni, Nick Jumapili iliyopita akiwa anatoka gym kifua wazi ameonekana akiwa amechora Tattoo nyingine kubwa zaidi mgongoni, na kuiziba ile ya […]

 

10 years ago

GPL

MARIAH CAREY, NICK CANON WABWAGANA BAADA YA MIAKA SITA

Mariah Carey alipokuwa mjamzito ILE ndoa ya kijana mdogo, msanii Nick Canon (33) na mwanadada (shuga-mami) mwimbaji Mariah Carey (44)  imefikia ukingoni baada ya kuweko kwa miaka sita. Wanandoa hao wakiwa na watoto wao. Hata hivyo, mtengano huo umezusha mgogoro wasiwasi mkubwa, hususani kwa Canon, kuhusu hatima ya watoto wao…

 

10 years ago

Bongo5

Nick Cannon akanusha kuwa chanzo cha Amber Rose kuomba talaka kwa mumewe

Baada ya taarifa za Amber Rose kudai talaka kwa mumewe Wiz Khalifa, mume wa Mariah Carey, Nick Cannon ambao nao ndoa yao imevunjika, amekanusha uvumi kuwa yeye ndio chanzo cha Amber kuomba talaka. Nick Cannon ambaye kwasasa ndie meneja mpya wa kazi za Amber Rose, amedai kuwa hakuna kitu chochote zaidi ya kazi kinachoendelea kati […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Mariah Carey — Infinity

Mariah Carey ametoa video yake mpya ya wimbo “Infinity” kutoka kwenye album yake mpya ya Infinity. Related Tags:

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani