Picha: Mariah Carey akila bata na bilionea aliyechukua nafasi ya Nick Cannon
Baada ya kuachana na mume wake Nick Cannon aliyezaa naye watoto wawili mapacha, Mariah Carey anaonekana kusonga mbele na kuanzisha uhusiano na bilionea James Packer, mmiliki wa macasino nchini Marekani. Mariah ameonekana akila bata la hatari na tajiri huyo anayezunguka naye kwenye nchi mbalimbali na weekend hii walikuwa Italia. Related Tags:
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo507 Oct
Picha: Nick Cannon aifunika Tattoo ya Mariah Carey kwa kuchora nyingine juu yake
Nick Cannon aliwahi kuchora Tattoo yenye jina la mke wake ‘Mariah’ mgongoni mwake miaka kadhaa iliyopita, ikiwa ni moja ya ishara ya mapenzi moto moto. Baada ya ndoa yao kuingia dosari na kutengana hivi karibuni, Nick Jumapili iliyopita akiwa anatoka gym kifua wazi ameonekana akiwa amechora Tattoo nyingine kubwa zaidi mgongoni, na kuiziba ile ya […]
11 years ago
Bongo521 Aug
Mariah Carey na Nick Cannon watengana, talaka inafuata
Imebainika kuwa Mariah Carey na Nick Cannon wametangana tangu May mwaka huu na wamekuwa wakiishi mbalimbali. Mtandao wa TMZ umedai kuwa mawakili wa masuala ya talaka wamekuwa wakijadiliana nao kuhusiana na kugawana mali na nani ataishi na watoto wao na kwamba talaka imekamilika. Vyanzo vilivyo karibu na wanandoa hao vimedai kuwa Mariah na Nick wamekuwa […]
10 years ago
GPL
NICK CANNON AMFUTA ZAIDI MARIAH CAREY KWA TATTOO
Tattoo mpya ya Nick Cannon. Kushoto ni tattoo ya jina la Mariah Carey ikiwa mgongoni mwa Nick na kulia ni tattoo aliyochora baada ya kuachana naye. RAPPA, komedian na mwigizaji wa Marekani, Nicholas Scott "Nick" Cannon ameamua kumfutilia mbali mkewe wa zamani Mariah Carey kwa tattoo nyingine zaidi mgongoni mwake. Awali Nick Cannon (34) aliamua kufuta tattoo ya jina la mkewe Mariah Carey aliyeachana naye mwaka jana kwa tattoo ya...
11 years ago
Vijimambo
ALICHOKIFANYA NICK CANNON KUFUTA JINA LA MARIAH CAREY MGONGONI

Nick Cannon na Mariah Carey wakiwa kwenye mahaba nitoe roho Nick alijichora jina la Mariah mgongoni kuashiria kuwa mahaba nitoe roho yake yamefika kikomo. Sasa basi ni miezi inakatika toka wanandoa hao wamwagane kiroho baridi ni pale Mariah Carey alivyoshitukia kuwa Nick alikuwa na michepuko ya hapa na pale. Sasa jitiririshe na alichokifanya Nick kufuta jina la mama watoto wake huyo alilokuwa ameliandika mgongini kwake. Na alichokisema Mariah Carey live bila king'amuzi cha Azam hapa chini.

10 years ago
Bongo527 Nov
Nick Cannon na Mariah Carey kula Christmas pamoja licha ya kuachana
Nick Cannon na mke wake wa zamani Mariah Carey watakuwa pamoja kwenye sikukuu ya Christmas. Wawiili hao waliofungua ndoa 2008, walitangaza kutengena mapema mwaka huu, lakini Nick amethibitisha kuwa hilo haliwezi kumzuia kutumia muda na Mariah kwenye sikukuu hiyo pamoja na watoto wao mapacha Monroe na Moroccan. Mapema wiki hii pia, Nick alikanusha kuwahi kuwa […]
11 years ago
GPL
MARIAH CAREY, NICK CANON WABWAGANA BAADA YA MIAKA SITA
Mariah Carey alipokuwa mjamzito ILE ndoa ya kijana mdogo, msanii Nick Canon (33) na mwanadada (shuga-mami) mwimbaji Mariah Carey (44) imefikia ukingoni baada ya kuweko kwa miaka sita. Wanandoa hao wakiwa na watoto wao. Hata hivyo, mtengano huo umezusha mgogoro wasiwasi mkubwa, hususani kwa Canon, kuhusu hatima ya watoto wao…
9 years ago
GPL
MARIAH CAREY AHAMIA ‘MAZIMA’ KWA BILIONEA JAMES PACKER
Staa wa muziki wa R&B duniani , Ma riah Carey. New York, Marekani
MAHABA! STAA wa muziki wa R&B duniani , Ma riah Carey ameamua kuhamia moja kwa moja (mazima) kwa mchumba wake mpya ambaye ni bilionea kutoka nchini Australia, James Packer. Mariah Carey akiwa na mpenzi wake James Packer. Chanzo kinapenyeza ‘ubuyu’kuwa, Mariah ambaye ni mama wa watoto mapacha aliyezaa na Nick Canno na alifikia uamuzi wa kuhamia kwa bilionea...
11 years ago
Bongo507 Aug
Mariah Carey ampiga chini aliyekuwa meneja wake Jermaine Dupri, nafasi yake imezibwa na Kevin Liles
Mwimbaji Mariah Carey amempiga chini aliyekuwa meneja , producer na mshkaji wake wa muda mrefu Jermaine Dupri aka JD ambaye alikuwa kwenye timu yake ya uongozi. Mariah Carey na JD Inadaiwa kuwa mauzo mabovu ya album mpya ya Mariah Carey iitwayo ‘Me. I Am Mariah…The Elusive Chanteuse’ ambayo imeuza nakala 103,000 tu toka ilivyotoka May […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10