Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BI. MWENDA ABANDIKA KOPE ZA BANDIA

Stori: Hamida Hassan
LICHA ya umri kumtupa mkono, mkongwe wa sanaa ya maigizo Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ amewastaajabisha mashabiki wake baada ya kunaswa akiwa amebandika kope za bandia. Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’. Tukio hilo lilijiri juzikati jijini Dar wakati staa huyo alipokuwa katika harakati za hapa na pale ndipo paparazi wetu alipomshtukia na kumtandika picha kadhaa kisha kumuuliza,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA AJUTA KUWEKA KOPE BANDIA

Stori: Imelda Mtema/Risasi
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Life Style: Wema Ajuta Kuweka Kope Bandia

Mrembo na mwigizaji  wa filamu, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.

Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa asili, hataki hata kusikia.

“Jamani hakuna kitu ambacho nimekichukia kwa hivi sasa kama kope za bandia sina tena ushawishi nazo kabisa zimeharibu...

 

9 years ago

Bongo5

Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House

Mafanikio kwa bendi ya Sauti Sol ya Kenya yanazidi kuonekana siku hadi siku. Kwa mujibu wa Sauti Sol, Rais Obama amebandika picha aliyopiga na bendi hiyo wakicheza hit song yao ‘Sura Yako’, kwenye ukuta wa White House ya Marekani. Picha hiyo ilipigwa wakati wa ziara ya Obama nchini Kenya miezi miwili iliyopita ambapo Sauti Sol […]

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDIYO ANASHIKILIA REKODI YA DUNIA KUWA NA KOPE NDEFU



Valery Smagliy, 58, from Kiev, said his eyelashes grew to their astonishing length after he changed his diet and believes the key to their growth could be marketable. He has kept the amazing-looking lashes until now as he has enjoyed the attention they attract from women.

 

10 years ago

Mtanzania

Mwenda meya bora Afrika

mwendaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda amekabidhiwa tuzo ya kuwa meya bora barani Afrika.
Tuzo hiyo alikabidhiwa jijini Dar es Salaam jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.
Meya Mwenda amefanikiwa kupata tuzo hiyo katika kundi la mamlaka za miji ya kati ambayo ina majiji yenye idadi ya watu isiyozidi milioni moja.
Akitaja sifa za tuzo hiyo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni,...

 

10 years ago

GPL

WEMA AMRUDISHA UJANA BI. MWENDA

Stori: Na Mwandishi Wetu/Ijumaa Wikienda
STAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu amemfanyia ‘sapraizi’ msanii mkongwe, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ kwa kumnunulia simu ya kisasa na kumfanya awe kama kijana. Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu. Wema alimfanyia sapraizi hiyo hivi karibuni kwa kummpeleka Bi.Mwenda katika maduka ya Mlimani City pasipo kumwambia wanakwenda kufanya nini na alipofika,...

 

11 years ago

GPL

BI. MWENDA AFUNIKA KUCHEZA MUZIKI

Stori: Gladness Mallya
MKONGWE kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ amefunika mbaya katika uchezaji wa muziki ambapo aliwatoa jasho hadi vijana wadogo. Mkongwe kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’. Tukio hilo lililovuta hisia za wengi lilinaswa na paparazi wetu, wikiendi iliyopita kwenye sherehe ya bethdei ya Klabu ya Bongo Movie Unity, iliyofanyika...

 

11 years ago

GPL

BI MWENDA AMZIMIKA PROF. JAY

Stori: Gabriel Ng’osha NAKUKUBALI! Mkongwe kwenye soko la filamu za Kibongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ amefunguka kuwa anamzimika kinomanoma mkali wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule ‘Prof Jay’ kutokana na tungo zake mahiri. Profesa Jay katika pozi. Bi Mwenda aliitoa kauli hiyo Jumatano iliyopita katika hafla ya Uzinduzi wa Global TV Online iliyofanyika katika Ofisi za Global Publishers,...

 

10 years ago

GPL

BI MWENDA: MAIMARTHA AKINIRUHUSU, NAOLEWA

Stori: Gladness Mallya MSANII mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kwamba ataolewa endapo somo wake ambaye ni mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse atamruhusu. Mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’. Akistorisha na paparazi wetu, Bi Mwenda alisema ruhusa ya yeye kuolewa tena atatoa Maimartha kwani ndiye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani