WEMA AJUTA KUWEKA KOPE BANDIA

Stori: Imelda Mtema/Risasi BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies24 Jan
Life Style: Wema Ajuta Kuweka Kope Bandia
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa asili, hataki hata kusikia.
“Jamani hakuna kitu ambacho nimekichukia kwa hivi sasa kama kope za bandia sina tena ushawishi nazo kabisa zimeharibu...
11 years ago
GPL
BI. MWENDA ABANDIKA KOPE ZA BANDIA
10 years ago
GPL
WEMA JIFUNZE KUWEKA BREKI MDOMONI
10 years ago
Vijimambo01 Mar
HUYU NDIYO ANASHIKILIA REKODI YA DUNIA KUWA NA KOPE NDEFU

Valery Smagliy, 58, from Kiev, said his eyelashes grew to their astonishing length after he changed his diet and believes the key to their growth could be marketable. He has kept the amazing-looking lashes until now as he has enjoyed the attention they attract from women.
11 years ago
GPL
HAFSA KAZINJA AJUTA KUACHIKA
10 years ago
GPL
KAJALA AJUTA KUPIGA MITUNGI
11 years ago
GPL
NORA AJUTA KUWAHI KUOLEWA
10 years ago
GPL
KABULA AJUTA KUMPENDA BUSHOKE
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Ainea sasa ajuta kupenda
MSANII anayekuja juu kwa kasi katika muziki wa kizazi kipya nchini, Kedimon Ainea, maarufu kama ‘Ainea’, anatarajia kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Najuta Kupenda’ hivi karibuni. Akizungumza na Tanzania Daima...