WEMA AMRUDISHA UJANA BI. MWENDA
Stori: Na Mwandishi Wetu/Ijumaa Wikienda STAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu amemfanyia ‘sapraizi’ msanii mkongwe, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ kwa kumnunulia simu ya kisasa na kumfanya awe kama kijana. Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu. Wema alimfanyia sapraizi hiyo hivi karibuni kwa kummpeleka Bi.Mwenda katika maduka ya Mlimani City pasipo kumwambia wanakwenda kufanya nini na alipofika,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Aveva amrudisha kundini Dewji
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Kocha Pluijm amrudisha Yondani kikosini Yanga
11 years ago
GPLPluijm amrudisha Chuji kikosi cha kwanza
9 years ago
Bongo510 Dec
Magufuli amrudisha Afande Sele kwenye muziki
Kasi ya Rais Dk John Pombe Magufuli imemkuna rapa kutoka Morogoro, Afande Sele na kuamua kurejea katika muziki baada ya mwezi mmoja uliopita kutangaza kuachana na muziki kwa madai hawezi kunufaika tena na muziki wake kutokana na kuwagawa mashabiki kupitia siasa.
Afande ambaye aligombea kiti cha ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo katika jimbo la Morogoro Mjini lakini akashindwa, ameiambia Bongo5 kuwa, kasi ya Magufuli imemwingia moyoni na kumfanya aamini hii ni Tanzania mpya.
“Kiukweli...
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Ujana maji ya moto:
10 years ago
Mwananchi16 Oct
‘Urais ni zaidi ya ujana’
10 years ago
Mtanzania06 May
Mwenda meya bora Afrika
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda amekabidhiwa tuzo ya kuwa meya bora barani Afrika.
Tuzo hiyo alikabidhiwa jijini Dar es Salaam jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.
Meya Mwenda amefanikiwa kupata tuzo hiyo katika kundi la mamlaka za miji ya kati ambayo ina majiji yenye idadi ya watu isiyozidi milioni moja.
Akitaja sifa za tuzo hiyo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni,...
10 years ago
GPLBI MWENDA: MAIMARTHA AKINIRUHUSU, NAOLEWA
11 years ago
GPLBI. MWENDA ABANDIKA KOPE ZA BANDIA