Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Urais ni zaidi ya ujana’

Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka vijana kumchagua mtu, “anayefanana na kijana” kurithi nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu 2015, wanasiasa na wasomi nchini wamesema sifa za mtu anayefaa kuwa rais ni zaidi ya ujana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JK agusia ujana urais 2015

 Wakati mbio za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 zikianza kushika kasi nchini, Rais Jakaya Kikwete amewataka vijana kumchagua mtu anayefanana na kijana kurithi nafasi yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Ujana siyo sifa ya urais

Hoja ya kutumia sifa ya ujana kama kigezo cha kuwania urais imezidi kupata upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kusema jambo la muhimu zaidi ni uwezo na uadilifu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Khamis Kigwangallah: Tunahitaji fikra za ujana kwenye urais

JINA la Dk. Khamis Kigwangallah ambaye ni mbunge wa Nzega (CCM) si jina geni  katika siasa za Tanzania. Jina hili katika siku za hivi karibuni limetajwa tajwa mara nyingi baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA, ADHAMINIWA NA ZAIDI YA WANANZANIA ZAIDI YA MIL. 1.6

 Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia maelfu ya wafuasi na wapenzi wa Chama hicho, wakati alipowasili kwenye Ofisi ya Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Jijini Dar es Salaam jioni ya leo. Mh. Lowassa alifika ofisini hapo kurudisha fomu za kuomba ridhaa ya Chama hicho, kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.Kulia kwake ni Mbunge wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Watatu zaidi wachukua fomu za urais CCM

nyalanduNA DEBORA SANJA, DODOMA

MBIO za urais zinaendelea kupamba moto baada ya makada wa CCM wanaochukua fomu kuwania kuteuliwa kugombea nafasi hiyo kupitia chama hicho kufikia 18.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ndiye alikuwa wa 16 kuchukua fomu hizo jana akifuatiwa na makada wengine wa chama hicho, Peter Nyalali na Leonce Mulenda
Nyalandu alifika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, akiwa ameambatana na mkewe Faraja Nyalandu na watoto wao wawili.
Akijibu swali kuhusu jinsi gani...

 

10 years ago

Mwananchi

Giza nene zaidi makada urais CCM

Dar es Salaam. Hali bado ni tete kwa makada sita waliofungiwa na CCM kujihusisha na masuala ya uchaguzi baada ya chama hicho tawala kueleza kuwa mchakato wa kuwachunguza haujakamilika na adhabu yao inaweza kuendelea hata baada ya vikao vya juu vitakavyofanyika mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO ZAIDI YA MH. MEMBE AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiusalimia umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. Picha na John Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe na mkewe Dorcas wakiupungia umati wa wana CCM na wakazi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Ujana maji ya moto:

Ujana maji ya moto, mimi nimejionea, Tena unachangamoto, leo nazielezea, Unapotoka utoto, ujana ukiingia, Ujana maji ya moto, wengi wameshaungua.

 

10 years ago

Michuzi

WATU ZAIDI YA 700 WAANDAMANA KWENDA KWA LOWASA KUMSHAWISHI ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015


 makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwawanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la monduli  hii leo

Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro  (TLB), Protas Soka Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la monduli  Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi waziri mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha yenye fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani