Lipumba: Ujana siyo sifa ya urais
Hoja ya kutumia sifa ya ujana kama kigezo cha kuwania urais imezidi kupata upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kusema jambo la muhimu zaidi ni uwezo na uadilifu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Ujana ni mapito, si sifa ya uongozi
SIKUBALIANI na wanasiasa vijana wanaoendekeza siasa za kutukuza ujana na kubeza “uzee” kama njia ya kujipatia uongozi. Sikubaliani nao wanaposimama majukwaani kuhamasisha vijana wenzao kuwa huu ni wakati wao kuchukua...
10 years ago
Mwananchi16 Oct
‘Urais ni zaidi ya ujana’
10 years ago
Mwananchi15 Oct
JK agusia ujana urais 2015
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Khamis Kigwangallah: Tunahitaji fikra za ujana kwenye urais
JINA la Dk. Khamis Kigwangallah ambaye ni mbunge wa Nzega (CCM) si jina geni katika siasa za Tanzania. Jina hili katika siku za hivi karibuni limetajwa tajwa mara nyingi baada ya...
10 years ago
Mwananchi14 May
Sifa kumi za mgombea urais wa CCM
10 years ago
Habarileo15 Jun
Lipumba atangulia urais
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba jana alianzisha mchakato wa kuwania urais kupitia muungano wa kambi ya upinzani nchini unaofahamika kama Ukawa, huku akisema yeye ndiye mtu pekee anayefaa kupeperusha bendera ya vyama vya upinzani.
10 years ago
Vijimambo02 Dec
Kificho: Urais siyo kazi ya kuombwa
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Pandu-Kificho-December2-2014.jpg)
Kificho aliyasema hayo katika mahojiano maalum na waandishi wa NIPASHE mjini Zanzibar hivi karibuni na kutaja sifa kuu mbili anazostahili kuwa nazo Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ajaye.
Alifafanua sifa hizo kuwa mtu mwenye nia...
10 years ago
Habarileo08 May
UVCCM yataja sifa za mgombea urais ajaye
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umetaja sifa za mgombea urais, anayetakiwa kugombea kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi08 Jun
Sifa 10 za mgombea urais bora wa upinzani 2015