Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lipumba atangulia urais

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akikabidhiwa fomu ya kugombea urais na Katibu wa CUF Kinondoni, Mohamedi Mkandu, Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba jana alianzisha mchakato wa kuwania urais kupitia muungano wa kambi ya upinzani nchini unaofahamika kama Ukawa, huku akisema yeye ndiye mtu pekee anayefaa kupeperusha bendera ya vyama vya upinzani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Lipumba angetaka ningemwachia urais’

Profesa Ibrahimu Lipumba juzi alitangaza rasmi kuachia nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Ujana siyo sifa ya urais

Hoja ya kutumia sifa ya ujana kama kigezo cha kuwania urais imezidi kupata upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kusema jambo la muhimu zaidi ni uwezo na uadilifu.

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa

Tabora. Mbio za urais zimezidi kupamba moto kwa upande wa upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia ya kugombea nafasi hiyo ya juu kisiasa nchini, akisema ana sifa zote lakini hatakuwa na kinyongo iwapo hatapitishwa na umoja wa vyama vya upinzani.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Wanaostahili jela wanawania urais CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechukua fomu ya kugombea urais kupitia chama hicho na kuahidi kupambana na rushwa huku akishangaa kuwapo watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kuwa mahabusu lakini wakichukua fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia CCM.

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba kufungua pazia urais keshokutwa

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa  Ibrahim Lipumba, Jumapili atachukua fomu ya kugombea urais ndani ya chama hicho na atawaeleza Watanzania sababu ya kuwania nafasi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Chifu Yemba, mpinzani wa Lipumba anayewania urais

Baada ya jitihada zake za kumuondoa Profesa Ibrahim Lipumba kwenye uenyekiti wa chama cha CUF, Chifu Lutayosa Yemba sasa ameanza safari mpya ya kuelekea Ikulu, akipeperusha bendera ya Alliance for Democratic Change (ADC).

 

10 years ago

GPL

MIAKA 20 YA LIPUMBA KUUSAKA URAIS NA KIU ISIYOKATIKA 2015

Prof. Ibrahim Haruna Lipumba PROFESA Ibrahim Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf) siyo mtu wa kutiliwa shaka kuhusu ‘madini’ aliyonayo kichwani. Ni msomi aliyebobea kwenye masuala ya uchumi duniani. Amezaliwa Juni 6, 1952, katika kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora. Safari ya elimu iliyompa uprofesa aliianza mwaka 1959, akisoma elimu ya awali na msingi katika shule ya Sikonge. Baadaye...

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba: CCM ina wagombea wawili wa urais

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kina wagombea wawili wanaowania kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Prof. Lipumba na urais, ni uvumilivu wa kula mbivu au king’ang’anizi

JOTO la uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, limezidi kupanda. Miezi minne iliyobaki inajenga uhalali wa joto hilo na mihemko ya namna mbalimbali.

Chama cha Wananchi (CUF), hivi karibuni kilimuibua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwania urais, ikiwa ni mara ya tano mfululizo anawania nafasi hiyo.

Kwa mara ya kwanza alitupa karata ya kuwania wadhifa huo mwaka 1995, wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini.

Katika hali ya kawaida, ingetarajiwa kuwe na mgombea tofauti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani