Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Lipumba na urais, ni uvumilivu wa kula mbivu au king’ang’anizi

JOTO la uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, limezidi kupanda. Miezi minne iliyobaki inajenga uhalali wa joto hilo na mihemko ya namna mbalimbali.

Chama cha Wananchi (CUF), hivi karibuni kilimuibua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwania urais, ikiwa ni mara ya tano mfululizo anawania nafasi hiyo.

Kwa mara ya kwanza alitupa karata ya kuwania wadhifa huo mwaka 1995, wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini.

Katika hali ya kawaida, ingetarajiwa kuwe na mgombea tofauti...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi ving'ang'anizi wapewa somo

Raisi wa Ufaransa Francois Hollande amewapa somo viongozi wa bara la Afrika,kwamba waache kung'ang'ania madarakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa

Tabora. Mbio za urais zimezidi kupamba moto kwa upande wa upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia ya kugombea nafasi hiyo ya juu kisiasa nchini, akisema ana sifa zote lakini hatakuwa na kinyongo iwapo hatapitishwa na umoja wa vyama vya upinzani.

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba kufungua pazia urais keshokutwa

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa  Ibrahim Lipumba, Jumapili atachukua fomu ya kugombea urais ndani ya chama hicho na atawaeleza Watanzania sababu ya kuwania nafasi hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Lipumba ang’ang’ania hoja ya Ukawa

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim LipumbaPAMOJA na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika wengine wanaounda kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hawatorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.

 

10 years ago

Vijimambo

Prof. Lipumba kunguruma Mtwara

Aandaliwa mapokezi makubwaBaada ya serikali kutangaza kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi kwa takribani mwaka mmoja, Chama cha Wananchi (CUF) Mkoa wa Mtwara, kinafanya maandalizi ya kumpokea Mwenyekiti wa chama hicho, Prof, Ibrahim Lipumba, ambaye atafanya mikutano ya hadhara miwili mjini Mtwara.

Kiongozi huyo ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi, anatarajiwa kuwasili Mtwara mjini Oktoba 13, mwaka huu.

Akizungumza na NIPASHE katika ofisi za CUF...

 

10 years ago

IPPmedia

Prof Lipumba mum on next move


IPPmedia
Prof Lipumba mum on next move
IPPmedia
CiviUnited Front national chairman Prof Ibrahim Lipumba addresses members of the opposition party at its headquarters in Dar es salaam yesterday. The membership of the Civic United Front (CUF) chairman Prof Ibrahim Lipumba hangs in the balance as ...
Lipumba Mum On Ukawa's Choice of Presidential CandidateAllAfrica.com

all 3

 

10 years ago

Vijimambo

Prof. Lipumba awavaa Polisi

Chama cha Wananchi (CUF) kimelaani vikali kitendo cha polisi kuwapiga waandishi wa habari waliokuwa wakifuatilia tukio la kuhojiwa na polisi Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Alhamisi wiki iliyopita.

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kitendo hicho ni cha uvunjaji wa katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kutafuta na kupata habari na pia ni cha uvunjaji wa haki za binadamu na kwamba, kimeonyesha jinsi jeshi hilo lisivyoheshimu haki za wananchi...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba, nabii asiyekubalika kwao

Profesa Ibrahim Lipumba hatanii, anautaka urais. Tangu alipojitokeza kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu mwaka 1995 na kushika nafasi ya tatu, amekuwa hakosekani kwenye karatasi ya mpigakura katika kila uchaguzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Prof. Lipumba ajiuzulu uenyekiti CUF

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba leo ametangaza kujiuzulu uenyekiti ndani ya chama hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani