Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Lipumba awavaa Polisi

Chama cha Wananchi (CUF) kimelaani vikali kitendo cha polisi kuwapiga waandishi wa habari waliokuwa wakifuatilia tukio la kuhojiwa na polisi Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Alhamisi wiki iliyopita.

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kitendo hicho ni cha uvunjaji wa katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kutafuta na kupata habari na pia ni cha uvunjaji wa haki za binadamu na kwamba, kimeonyesha jinsi jeshi hilo lisivyoheshimu haki za wananchi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PROF. LIPUMBA NA BAADHI YA WANACHAMA WAKE WAKAMATWA NA POLISI

Prof. Lipumba akihutubia. TAARIFA zilizotufikia ni kwamba Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba na wanachama wake wamekamatwa na kupigwa na Jeshi la Polisi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kushtushwa na tukio hilo la kupigwa na kukamatwa Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA Prof. Lipumba. Uongozi wa juu wa Chadema pamoja na mawakili wa chama hicho wameelekea Kituo Kikuu cha Polisi, Dar kwa ajili ya tukio hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA VURUGU ZA LEO TEMEKE HUKU PROF LIPUMBA AKIPIGWA VIBAYA NA POLISI

Habari zilizotufikia Punde:Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa chama cha wananchi CUF waliokuwa wakiandamana kwa ajili ya kukumbuka mauaji ya wenzao huko Pemba yaliyotokea mwaka 2001, Ambapomwenyekiti wake Profesa Ibrahimu Lipumba nimiongoni watu waliokubwa na kadhia hiyo ya kupigwa mabomu ya machozi eneo la Temeke jijini Dar es Salaam.Kwa habari zaidi Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina.CHANZO: ITV TANZANIA

 

10 years ago

Vijimambo

Prof. Lipumba kunguruma Mtwara

Aandaliwa mapokezi makubwaBaada ya serikali kutangaza kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi kwa takribani mwaka mmoja, Chama cha Wananchi (CUF) Mkoa wa Mtwara, kinafanya maandalizi ya kumpokea Mwenyekiti wa chama hicho, Prof, Ibrahim Lipumba, ambaye atafanya mikutano ya hadhara miwili mjini Mtwara.

Kiongozi huyo ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi, anatarajiwa kuwasili Mtwara mjini Oktoba 13, mwaka huu.

Akizungumza na NIPASHE katika ofisi za CUF...

 

10 years ago

IPPmedia

Prof Lipumba mum on next move


IPPmedia
Prof Lipumba mum on next move
IPPmedia
CiviUnited Front national chairman Prof Ibrahim Lipumba addresses members of the opposition party at its headquarters in Dar es salaam yesterday. The membership of the Civic United Front (CUF) chairman Prof Ibrahim Lipumba hangs in the balance as ...
Lipumba Mum On Ukawa's Choice of Presidential CandidateAllAfrica.com

all 3

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa

Tabora. Mbio za urais zimezidi kupamba moto kwa upande wa upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia ya kugombea nafasi hiyo ya juu kisiasa nchini, akisema ana sifa zote lakini hatakuwa na kinyongo iwapo hatapitishwa na umoja wa vyama vya upinzani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shaka amzodoa Prof. Lipumba Zanzibar

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imemuonya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba, kuacha kuingilia uamuzi wa kikatiba unaofikiwa na chama chao. UVCCM...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba, nabii asiyekubalika kwao

Profesa Ibrahim Lipumba hatanii, anautaka urais. Tangu alipojitokeza kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu mwaka 1995 na kushika nafasi ya tatu, amekuwa hakosekani kwenye karatasi ya mpigakura katika kila uchaguzi.

 

10 years ago

Mtanzania

Mahakama yawaonya Prof. Lipumba, Mdee

HALIMANA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaonya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba na wenzake kwa kuchelewa na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kwa kutohudhuria mahakamani.
Washtakiwa hao walionywa kwa nyakati tofauti jana wakati kesi zao zilipokwama kuendelea kusikilizwa kwa sababu yao.
Kesi inayomkabili Profesa Lipumba na wenzake 31 ilitakiwa kuendelea kusikilizwa, lakini iliahirishwa kwa sababu hakimu anayeisikiliza, Cyprian Mkeha hakuwapo na washtakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani