Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yawaonya Prof. Lipumba, Mdee

HALIMANA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaonya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba na wenzake kwa kuchelewa na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kwa kutohudhuria mahakamani.
Washtakiwa hao walionywa kwa nyakati tofauti jana wakati kesi zao zilipokwama kuendelea kusikilizwa kwa sababu yao.
Kesi inayomkabili Profesa Lipumba na wenzake 31 ilitakiwa kuendelea kusikilizwa, lakini iliahirishwa kwa sababu hakimu anayeisikiliza, Cyprian Mkeha hakuwapo na washtakiwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Prof. Lipumba kunguruma Mtwara

Aandaliwa mapokezi makubwaBaada ya serikali kutangaza kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara katika mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi kwa takribani mwaka mmoja, Chama cha Wananchi (CUF) Mkoa wa Mtwara, kinafanya maandalizi ya kumpokea Mwenyekiti wa chama hicho, Prof, Ibrahim Lipumba, ambaye atafanya mikutano ya hadhara miwili mjini Mtwara.

Kiongozi huyo ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi, anatarajiwa kuwasili Mtwara mjini Oktoba 13, mwaka huu.

Akizungumza na NIPASHE katika ofisi za CUF...

 

10 years ago

Vijimambo

Prof. Lipumba awavaa Polisi

Chama cha Wananchi (CUF) kimelaani vikali kitendo cha polisi kuwapiga waandishi wa habari waliokuwa wakifuatilia tukio la kuhojiwa na polisi Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Alhamisi wiki iliyopita.

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kitendo hicho ni cha uvunjaji wa katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kutafuta na kupata habari na pia ni cha uvunjaji wa haki za binadamu na kwamba, kimeonyesha jinsi jeshi hilo lisivyoheshimu haki za wananchi...

 

10 years ago

IPPmedia

Prof Lipumba mum on next move


IPPmedia
Prof Lipumba mum on next move
IPPmedia
CiviUnited Front national chairman Prof Ibrahim Lipumba addresses members of the opposition party at its headquarters in Dar es salaam yesterday. The membership of the Civic United Front (CUF) chairman Prof Ibrahim Lipumba hangs in the balance as ...
Lipumba Mum On Ukawa's Choice of Presidential CandidateAllAfrica.com

all 3

 

10 years ago

Michuzi

PROF. LIPUMBA AKIWASHUKURU WANANCHI BUGURUNI

Mwenyekiti wa chama cha Wananchi CUF.  Prof, Ibrahim Lipumba   alipokuwa akiwashukuru wananchi wa Buguruni Dar es Salaam leo kwa  kupiga kura na kukipa ushindi  mkubwa na imani walio ionyesha kwa wagombea wa chama hicho kuwezesha kunyakuwa mita 5 na Chama cha Mapinduzi CCM kunyakuwa mta 1, nakuwaomba wananchi wazidi kuwa na imani na cha hicho.(PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mjumbe wa Chama cha Wananchi CUF na Kiongozi wa Sanaa Mshikamano cha Temeke Shamte Mpendaraha  alipokuwa akisoma risala kabla...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa

Tabora. Mbio za urais zimezidi kupamba moto kwa upande wa upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia ya kugombea nafasi hiyo ya juu kisiasa nchini, akisema ana sifa zote lakini hatakuwa na kinyongo iwapo hatapitishwa na umoja wa vyama vya upinzani.

 

10 years ago

GPL

PROF LIPUMBA KIZIMBANI NA WANACHAMA WAKE

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Lipumba na wanachama wengine wakiwa eneo la mahakama. MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za kukiuka agizo la jeshi la polisi na kuandamana. Lipumba na wanachama  wengine 32  wanatuhumiwa kufanya… ...

 

10 years ago

Michuzi

PROF. LIPUMBA APANDISHWA KIZIMBANI LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof Ibrahim Haruna Lipumba (katikati) akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo,alipofikishwa kujibu shitaka la kuhamasisha wanachama wa chama chake kufanya maandamano. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof Ibrahim Haruna Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo.Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof. Lipumba ajiuzulu uenyekiti CUF

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba leo ametangaza kujiuzulu uenyekiti ndani ya chama hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani