Kificho: Urais siyo kazi ya kuombwa
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, amesema kuwa kazi ya urais siyo jambo la kushauriwa au kuombwa, bali kwa mhusika kujipima kama anaweza kutekeleza jukumu hilo kwa kuweka maslahi ya umma mbele kuliko kutafuta heshima na mali nyingine.
Kificho aliyasema hayo katika mahojiano maalum na waandishi wa NIPASHE mjini Zanzibar hivi karibuni na kutaja sifa kuu mbili anazostahili kuwa nazo Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ajaye.
Alifafanua sifa hizo kuwa mtu mwenye nia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Jun
Mgombea urais alia kuombwa rushwa
MMOJA wa makada 39 wa CCM waliojitosa kuwania kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania baadaye mwaka huu, Boniface Ndembo jana alirudisha fomu huku akilalamikia hali ya rushwa, akisema ni mbaya na kwamba kuna baadhi ya maeneo watu walitishia kumkataa kumdhamini kama asingetoa fedha.
11 years ago
Vijimambo14 Oct
Nyalandu: Nasubiri kuombwa kuwania urais 2015

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema hawezi kutangaza kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao bila kutumwa na watu.
Nyalandu amesema kuwa wadhifa wa kuongoza nchi ni mkubwa mno, ambao mtu hawezi kujichukulia uamuzi wa kuiomba nafasi hiyo isipokuwa mpaka atumwe na watu, huku akisema kuwa ingawa hana mpango wa kugombea urais, lakini hata yeye akitumwa anaweza kugombea.
Nyalandu aliyasema hayo juzi kwenye mkutano wake na wandishi...
10 years ago
VijimamboProfesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano
Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Kificho asisimua makundi ya urais CCM
MZAHA wa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kwa wajumbe wa Bunge hilo kuhusu kuwepo kikao cha makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuutaka...
11 years ago
Mwananchi19 Aug
Lipumba: Ujana siyo sifa ya urais
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Warioba: Kazi ya Bunge la Katiba siyo kubadili Rasimu
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Mapenzi siyo kitu muhimu kwangu, hapa kazi tu
10 years ago
Mwananchi17 Jan
‘Chuo kikuu ni fursa ya kuondoa ujinga, siyo kutafuta kazi’
10 years ago
Vijimambo11 Feb
Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...