Mgombea urais alia kuombwa rushwa
MMOJA wa makada 39 wa CCM waliojitosa kuwania kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania baadaye mwaka huu, Boniface Ndembo jana alirudisha fomu huku akilalamikia hali ya rushwa, akisema ni mbaya na kwamba kuna baadhi ya maeneo watu walitishia kumkataa kumdhamini kama asingetoa fedha.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo02 Dec
Kificho: Urais siyo kazi ya kuombwa

Kificho aliyasema hayo katika mahojiano maalum na waandishi wa NIPASHE mjini Zanzibar hivi karibuni na kutaja sifa kuu mbili anazostahili kuwa nazo Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ajaye.
Alifafanua sifa hizo kuwa mtu mwenye nia...
11 years ago
Vijimambo14 Oct
Nyalandu: Nasubiri kuombwa kuwania urais 2015

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema hawezi kutangaza kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao bila kutumwa na watu.
Nyalandu amesema kuwa wadhifa wa kuongoza nchi ni mkubwa mno, ambao mtu hawezi kujichukulia uamuzi wa kuiomba nafasi hiyo isipokuwa mpaka atumwe na watu, huku akisema kuwa ingawa hana mpango wa kugombea urais, lakini hata yeye akitumwa anaweza kugombea.
Nyalandu aliyasema hayo juzi kwenye mkutano wake na wandishi...
10 years ago
Vijimambo
PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS









10 years ago
VijimamboProfesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano
Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Kabwe alia na zabuni za rushwa
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Zitto alia na rushwa kwenye uchaguzi

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
NA GRACE SHITUNDU
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amesema wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika vyama vya siasa nchini wamekuwa wakivunja sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010.
Alisema hatua ya kushindwa kuwasilisha ripoti ya matumizi ya fedha za uchaguzi kwa wagombea wa ubunge, urais na udiwani inakwenda kinyume na sheria.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akizungumzia ripoti ya utafiti wa rushwa...
10 years ago
Bongo Movies28 Mar
Marry Alia na Rushwa ya Ngono Bongo Movie
Msanii chipukizi wa filamu zakibongo, Marry Elias amewalalamikia baadhi ya watengeneza filamu kwa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha wasanii chipukizi kwa kuwaomba rushwa ya ngono, msanii huyo anasema kuwa wasanii wasio majina ambao wanapofika katika usahili wa filamu ukwama hadi watoe rushwa ya ngono.
“Katika tasnia ya filamu Bongo kwa mtoto wa kike kuna changamoto nyingi lakini inayoniumiza ni baadhi ya wasanii kututaka kimapenzi ndio akupe kazi yake au anaweza asikupe kabisa na hiyo, ni...
10 years ago
Habarileo10 Jul
Mgombea CCM alia kusahauliwa
MMOJA wa wanachama wa CCM aliyejitokeza kuwania urais, Joseph Chaggama amesema vyombo vya habari vimemsahau, lakini akaahidi kuwa akipewa nafasi hiyo atafanya mageuzi makubwa katika kushughulikia rushwa na utawala wa sheria.
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Mgombea urais mteule John Magufuli amteua Samiah Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza